Rayz
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 339
- 261
Aysee! Labda kweli tumepewa agenda ya kujadili huku nyuma ya pazia kuna mambo yanapitishwa? Hili nalo likatazamweNachojiuliza hii sio movie? Maana CCM washatujulia watanzania!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aysee! Labda kweli tumepewa agenda ya kujadili huku nyuma ya pazia kuna mambo yanapitishwa? Hili nalo likatazamweNachojiuliza hii sio movie? Maana CCM washatujulia watanzania!
Wamejua jinsi ya kula na kipofu,Mkuu una mawazo likewise, yaani ukute kuna jambo wanatupoteza as issue ya mgao wa Maji, Umeme, Chakula.
Walikuja na issue ya dogo wa uokozi, dogo alipoingia chuo wakaibuka na bashiru.
Yaani hii nchi kama haupo makini unashangaa mara mwaka umeisha na viongozi ni wale wale!.
Kusema ukweli wa kukosoa ni ulafi wa madaraka?Bashiru ni mlafi wa madaraka, chama kinamtwanga vilivyo
Vuguvugu la kudai katiba mpya litaanzia huko na mengine yatafataNani ataibadilisha system yote? Hata katiba tuliyonayo inafuatwa kwa asilimia zote?
Still Bashiru, mrundi, hana moral authority ya kusema anatetea ukweliKusema ukweli wa kukosoa ni ulafi wa madaraka?
Hayo masuala Urundi ni story za juujuu? Au Kuna uthibitisho? Na aliingiaje kwenye system ya uongozi wa CCM Ili hali ni foreigner?Still Bashiru, mrundi, hana moral authority ya kusema anatetea ukweli
Mkuu, wamemfunga kamba na kumwacha azurure, kwa nukuu ya KM Taifa.
Hatuangalii Urundi wake!Still Bashiru, mrundi, hana moral authority ya kusema anatetea ukweli
Nani huko ccm amburuze bashiru? Wao wenyewe wezi watupu na ripoti ya ukaguzi anayo bashiri huyohuyo. Akiibua hoja ya uchunguzi kifo cha magufuli huko ccm patakalika? Hakuongea aliyoyaongea juzi kwa bahati mbaya!bashiru akirudi CUF anaweza kuwa candidate mzuri sana kama prof Lipumba hatakuwepo ndani yake. anaweza kusumbua mno, wasije kumruhusu icho kitu, ama la, wakumbushie ile issue za kigogo kwamba walikwapua mipesa kipindi jiwe amekufa ili wamburuze nalo kwa uhujumu uchumi. awe makini,
Akaufanyie Bujumbura huko kwa nduguzeHatuangalii Urundi wake!
Tunaangalia uthubutu wake!
Tunaangalia ukweli wake!
Tunaangalia ushupavu wake wa kumfunga Paka Kengele!
Hawezi kaa na yule kinyonyoke wa nywele.Hawataelewanabashiru akirudi CUF anaweza kuwa candidate mzuri sana kama prof Lipumba hatakuwepo ndani yake. anaweza kusumbua mno, wasije kumruhusu icho kitu, ama la, wakumbushie ile issue za kigogo kwamba walikwapua mipesa kipindi jiwe amekufa ili wamburuze nalo kwa uhujumu uchumi. awe makini,
Hii kauli aliiongea Mzee kikwete. Baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa ccm 1995 wafuasi wake walimtaka kuunzisha chama kipya ye akawajibu kitasajiliwa na nani. Yule Mzee siasa anazijua tangu zamaniwaanzishe chama afu nani akisajili? ingekuwa hiyo ni rahisi mbona tungekuwa na vyama buku leo hii.