CCM vs Dkt. Bashiru: Nini kinaendelea?

Nachojiuliza hii sio movie? Maana CCM washatujulia watanzania!
Aysee! Labda kweli tumepewa agenda ya kujadili huku nyuma ya pazia kuna mambo yanapitishwa? Hili nalo likatazamwe
 
Wamejua jinsi ya kula na kipofu,
 
Aysee! Labda kweli tumepewa agenda ya kujadili huku nyuma ya pazia kuna mambo yanapitishwa? Hili nalo likatazamwe
Jamaa wako smart Sana. Vinginevyo wangeshaondoka madarakani
 
Mpaka majizi na mauaji yataomba yenyew katiba mpya sie tutakuwa tumekaa pembeni
 
Mpaka majizi na mauaji yataomba yenyew katiba mpya sie tutakuwa tumekaa pembeni
Nani ataibadilisha system yote? Hata katiba tuliyonayo inafuatwa kwa asilimia zote?
 
Zama za bashiru zimekwisha alicho kibakiza ni kumfata alie mtoa jalalani tu
 
Still Bashiru, mrundi, hana moral authority ya kusema anatetea ukweli
Hayo masuala Urundi ni story za juujuu? Au Kuna uthibitisho? Na aliingiaje kwenye system ya uongozi wa CCM Ili hali ni foreigner?
 
Still Bashiru, mrundi, hana moral authority ya kusema anatetea ukweli
Hili ndilo tatizo la kujiunga na genge la majambazi ,Huwezi kutoka ukitoka utakumbushwa maovu yako. Na ukizidi "utashughulikiwa "
 
Nani huko ccm amburuze bashiru? Wao wenyewe wezi watupu na ripoti ya ukaguzi anayo bashiri huyohuyo. Akiibua hoja ya uchunguzi kifo cha magufuli huko ccm patakalika? Hakuongea aliyoyaongea juzi kwa bahati mbaya!
 
Hatuangalii Urundi wake!

Tunaangalia uthubutu wake!

Tunaangalia ukweli wake!

Tunaangalia ushupavu wake wa kumfunga Paka Kengele!
Akaufanyie Bujumbura huko kwa nduguze
 
Hawezi kaa na yule kinyonyoke wa nywele.Hawataelewana
 
waanzishe chama afu nani akisajili? ingekuwa hiyo ni rahisi mbona tungekuwa na vyama buku leo hii.
Hii kauli aliiongea Mzee kikwete. Baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa ccm 1995 wafuasi wake walimtaka kuunzisha chama kipya ye akawajibu kitasajiliwa na nani. Yule Mzee siasa anazijua tangu zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…