CCM waahirisha vikao vya mchujo, Januari Makamba atajwa

CCM waahirisha vikao vya mchujo, Januari Makamba atajwa

Hivi watu huwa mwafikria kwa kutumia nini?

Mtajwa ameumia na anaendelea kuumia waziri fulani kutoka Kanda ya ziwa kusifiwa kwa utendaji kazi wake.

Maumivu hayo yememfanya Mtajwa kutaka kujua mganga wa msifiwa ili na yeye apendwe na msifiaji.

Halafu ndiyo awe Rais?

Labda Rais wa upinde....
 
Nchi hii haiwezi enda Mikononi Kwa Makamba nawaambieni si tupo? Mtaona tilia maanani nawaibia Siri kuna watu watatu ndo wanaangaliwa

Mmoja ni balozi huko Kusini Kwa Mabomu japo bado ni mchango kisiasa ila by 2030 atakuwa amekomaa komaa..

Mwingine ni Mkuu wa mkoa sehemu
Hapo kati kati .
Na mwingine anaongoza ka Isakbd fulani

Tupo tutakumbushana (Shika Hii ni kutoka Jikoni Kabisa)

Britanicca
Mkuu wa mkoa wa Iringa
 
January yupo kwa niaba ya Rostam na JK
JK kafanya makusudi kumpa January wizara ya Nishati ili imchafue na kumwondolea ushawishi. Sasa hivi ukiuliza kati ya Riz One na January nani ni waziri mzigo, January ataonekana mapema tu. Anayetengenezewa njia ni Riz na sio January. Huenda mgombea wao ajae au Rais kabisa ajae akawa mzee wa "nikishaapishwa, nikisaini kwa wino wangu mwekundu" (BM) halafu next ni Riz..kuweka sawa mambo yao ya mpokezano wa dini
 
Sure
 
Gazeti la Raia Mwema la leo Oktoba 31,2022 limeweka wazi Siri nzito baada ya Chama cha Mapinduzi kunusa mchezo mchezo mapema na kuahirisha vikao vya mchujo.

Wajumbe, wagombea wa mikoa waondoka Dodoma, wapagawa.

Lakini kwenye gazeti hilo limemtaja Januari Makamba kuwa ni miongoni mwa wagombea wa nafasi nyeti ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC).

Kwenye orodha hiyo ya gazeti la Raia Mwema kwa upande wa Mawaziri ni Januari Makamba pekee anayetegemewa kupitishwa na vikao.
huyu kijana mbona ni mroho wa madaraka sana.hajaridhika na huo uwaziri?ndo maana kichwa chake bado kina ugonjwa wa urais.
 
Huyu ni miongoni mwa watu ambao sijawahi kuwamini,
Kama wizara moja TU Inampa shida hivi,
Kila siku sababu zisizo na kichwa na miguu
hivi anajua umeme ukikatika Kwa lisaa limoja hasara ambayo taifa inalipata sembuse tanesco wanakata siku nzima
Miongoni mwa watakaomwangusha Mh rais huyu ni miongoni, bahati mbaya naye anapewa vijisababu naye anakubal
Kwa wenzetu ukiona huna uwezo wa kutatua tatizo unakaa pembeni
 
Back
Top Bottom