Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kada Maarufu wa CCM amesema laiti Wapinzani wangekuepo bungeni, yaani hata Wapinzani 10 tu, CCM wasingepitisha tozo za ajabu hivi.
Ng'ombe haoni faida ya mkia wake hadi siku ukikatika.
"Leo kungekuwa na wabunge wa upinzani pale bungeni hata 10 tu hizi tozo za kitapeli zisingekuwepo,hakuna kitu kizuri Duniani kama upinzani,kama Mungu anaye mpinzani ambaye ni shetani je? kwanini sisi wanadamu hatutaki wapinzani wawepo? Noel Olevaroya ,kada wa @ccm_tanzaniac