mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,192
- 5,743
Natamani waongeze zaidi iwe 50 % kila muamala au chochote kinachonunuliwa ila watu akili ziwakae sawa, wajue umuhimu wa katiba mpya nini katika kusimamia maisha yao ya kila siku na vizazi vyao!
Watu wanahisi wao wakipata leo basi imeisha hawajui atakuja mtawala kwenye vizazi vyao vijavyo ambaye hatawajua kabisa na kama kibano watakipata tu!
Natamani wangekuwa na uwezo wa kuona kesho basi wasingetetea ujinga!