Hahaaaaa...........😄😁Lema, Msigwa na Heche walikuwa wanawafanya Ndugai na Tulia waende bleed mfululizo kama bomba la DAWASA.
Usicheke, walikua wakisimama hujui kile wataongea! Yaani Sergeant at Arm, Time Keeper, Katibu wa Bunge, Supika, Muheshimiwa Naiba Spika, Wabange wote wa Mbogamboga kila MTU masikio yanakua juu juu kama wale nguchiro wanaotaka kuvuka barabaraHahaaaaa...........😄😁
Uzuri wa kufanya hivyo, tunaumia wote bila kujali chama. [emoji3]Natamani waongeze zaidi iwe 50 % kila muamala au chochote kinachonunuliwa ila watu akili ziwakae sawa, wajue umuhimu wa katiba mpya nini katika kusimamia maisha yao ya kila siku na vizazi vyao!
Watu wanahisi wao wakipata leo basi imeisha hawajui atakuja mtawala kwenye vizazi vyao vijavyo ambaye hatawajua kabisa na kama kibano watakipata tu!
Natamani wangekuwa na uwezo wa kuona kesho basi wasingetetea ujinga!
Mbona CCM na Màtaga tozo haziwahusu,zinawahusu wapinzani na Chadema tu.Kada Maarufu wa CCM amesema laiti Wapinzani wangekuepo bungeni, yaani hata Wapinzani 10 tu, CCM wasingepitisha tozo za ajabu hivi.
Ng'ombe haoni faida ya mkia wake hadi siku ukikatika.
"Leo kungekuwa na wabunge wa upinzani pale bungeni hata 10 tu hizi tozo za kitapeli zisingekuwepo,hakuna kitu kizuri Duniani kama upinzani,kama Mungu anaye mpinzani ambaye ni shetani je? kwanini sisi wanadamu hatutaki wapinzani wawepo? Noel Olevaroya ,kada wa @ccm_tanzaniac