Wewe ni mtetezi na shabiki wa Kikwete na chama lake la mafisadi. hii sio siri Omar. The "she" unayemuongelea hapo ni mama Salma Kikwete? Bwa ha ha ha ... huu ni ushauri toka kwa mwanaccm!.... Umeanza lini kuwatakia wema wapinzani?
Well, all the best.....I have life apart from JF romances...
all the best to you too ... i hope hiyo life yako ya kifisadi itakufanya uwe next bilionea wa Tanzania
Siasa zinaanza kuingiliwa na wenye nia mbaya!
"Kumwaga damu" ni kauli yenye uzito mkali! Lakini ni kiasi gani cha damu kumwagika kinachostahili sifa kama hiyo/
Wa kuanza kupiga wengine walikuwa ni Chadema huko Vunjo na watu wengi walishangilia kuwa hakupewa kipigo tosha! Walilia kuwa angeumizwa zaidi!
Tukio la pili lilifuataa huko huko mjini Musoma wakati XChadema mmoja aliposhambuliwa. Lakini sikusikai watu wakisema kuwa angestahili kipigo zaidi!
Jamani, tuachane na siasa hizi za "hate" za "sisi" dhidi ya "wao"! La sivyo, tutajajikuta tukitti msemao, "Mkuki kwa nguruwe; kwa binadamu mchungu!
e wehapa walishangkuanza kuise ni

Damu imemewagika kule Busanda; wanaccm waliwacharaza mapanga wanaChedema
Damu imemwagwa tena Musoma wanaccm waliwacharaza mapanga wanaChedema tena tumeona wazi kwenye TV
Bado JWTZ na Polisi wanasema hakuna damu itakayomwagika. Maneno hayo waliyasema kabla damu hiyo haijamwagika; kibaya zaidi hatuoni hatua za makusudi zinazochukuliwa; au damu ya wanaChedema si damu wanayoizungumzia? ya wanaCCM ndiyo damu?
Damu zimeshamwagika, JWTZ kwa kuwa mmejiingiza wenyewe katika hili, na Polisi chukueni hatua bila kujali Chama
OMBI kwa wanaCHadema: Msilipize kisasi, kuweni wapole na ushindi utakuja tu; CCM wameshindwa hoja wanakimbilia mapanga.