Elections 2010 CCM waanza kumwaga damu mkoani Mara

Niliona jana kwa TV watu damu zawamwagika vichwani utasema tuko Sobibo
Khaa CCM wamepania.
Shimbo apo ndo inabidi uanze kazi
 
Kinana ni tatizo kubwa kwa nchi yetu, huyo hana uchungu ndiyo maana anaidhinisha mipango michafu kama hiyo, anachotaka ni kuona watanzania tunaingia ktk mgogoro ili ndugu zake wasomali waingia kwa urahisi NA KUFANYA UHARAMIA.KINANA ni hatari kama ukoma hata wanajeshi wa JWTZ wanamjua sana.Wewe jaribu kuongea naaskari wa zamani atukupa sifa za hilo JANGIRI utabaini ni hatari hana utu.Watanzania hatuna ujasiri huo wa kuuana ila CCM wanaimarishwa na KINANA madhara yake watayaona baadae taifa likisambaratika kama somalia.
 
Niliona jana kwa TV watu damu zawamwagika vichwani utasema tuko Sobibo
Khaa CCM wamepania.
Shimbo apo ndo inabidi uanze kazi

Njowepo upo SAHIHI KABISA, huyu Shimbo anatakiwa kuanzana kazi mara moja kama kweli hana upande anaoegemea, lakini kwa kuwa ni chama tawala na amiri jeshi mkuu ndio mwenyekiti, hutasikia chochote. lakini ingekuwa ni wapinzani wamefanya hivyo nadhani uchaguzi ungehairishwa.
 
fulana za ccm zimeandikwa usindi ni lazima
 
Kwani mapanga yanauzwa bei gani? Walahi sasa kila mtu atembee na panga lake kwenye koti...
 
Sasa mvunjaji wa amani ni nani?ccm au vyama vya upinzani?miaka ya nyuma walikua wakiwatuhumu cuf kuwa wavunja amani kumbe ni ccm ndio tabia yao

Hao wa huko pamoja na wale wa Moshi waliowashambulia wana ccm wakitoka mkutanoni wote wavunjajiwa amani.Kule moshi chadema kwa kufuata agizo la mabosi wao waliwashambukia wafuasi wa ccm na kuwavunja sura zao kwa mawe,lakini hapa JF hilo hawalizungumzii ila la ccm ndio kero.Ama kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha.Sihofii kufungiwa na wenye mtandao ambao najua ni kutoka kanda ya kaskazini.
Mwaka huu ccm lazima ushindi na nyie wengne ni madaraja yetu tuu,mkitaka chukueni sumu mnywe nyamafu!
 

Very dangerous! Sounds like ugaidi.
 
Niliona jana kwa TV watu damu zawamwagika vichwani utasema tuko Sobibo
Khaa CCM wamepania.
Shimbo apo ndo inabidi uanze kazi

Aanze kazi Ipi huyo Shimbo???

Nchi zingine kwa kuwa ametumia madaraka yake vibaya na kukiuka KATIBA YA NCHI KWA KUVUKA MIPAKA YA KIUTENDAJI NDANI YA JWTZ
Ina mpasa KUJIUZULU KUANZIA JANA AU LEO ameshuhudia yaliyotokea Mara(Musoma-Mjini),

Sasa maneno aliyo yasema yametokea na je nini kifuatachoooo SHIMBO MUST GOOO!

 

Hali inatisha ... mimi nina hofu kubwa sana na kitakachotokea baada ya ccm kushindwa uchaguzi October 31.
 
Kikwete leo amekaa kimya kabisa, hajagusia vitendo vya umwagaji damu vinavyofanywa na ccm
 
Leo asubuhi nimepita pale karibu na kituo cha Polisi Kati Moshi mjini. Nilikuta mamia ya watu na baadhi yao wakiwa wamebeba mabango. Moja lilisomeka hivi " POLISI TUTENDEENI HAKI JAPO KIDOGO". Sikujishughulisha sana maana nilikuwa nawahi kwenye mitikasi fulani hivi. Baadae mchana nikapata taarifa kuwa jana yaani tarehe 13/10 Vijana wa CCM waliwavamia Vijana wa CHADEMA na kuwapiga ile mbaya na mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA amewekwa korokoroni ndiyo maana wananchi wakaandamana na kwenda Polisi. Pia nikapewa taarifa kuwa gari la mgombea udiwani ndugu Abuu Shayo limeharibiwa vibaya sana na watu wanaosadikiwa kuwa ni wa CCM. Diwani huyu hadi mchana wa saa 8 alikuwa bado mikononi mwa polisi na Mh Ngoboko amedai kuwa hatomwachia hadi wafuasi wa CHADEMA waondoke kituoni. Taarifa zinadai kuwa vijana wapatao sita wamelazwa katika hospitali ya Mawenzi kutokana na VITA hiyo.
Hapa najiuliza ndo UMWAGAJI WA DAMU UMEANZA?
 
Naona CCM mwaka huu wamedhamiria kupata ushindi kwa njia yoyote ile, ndiyo maana ya ile slogan yao, "ushindi ni lazima". Maana kila mahali wanaripotiwa kumwaga damu za wanachadema wasio na hatia. Lakini kinachonishangaza, ni lile jeshi ambalo CCM imeliandaa (green gard), halafu inasema wenzake wasio na jeshi ndo wanataka kumwaga damu. Ilihali yenyewe ndo imeandaa na jeshi kabisa tayari kwa kuwamaliza wapinzani. nafikiri kuna haja ya kutengeneza mashitaka mengine dhidi ya CCM kwa kuandaa jeshi bandia wakati kuna jeshi halali linalokubalika kisheria.
 
my my my my .... hawa ccm hawa walai wanatia hasira

Kikwete na familia yake hawajali kabisa maisha ya watanzania. Wako tayari kuona damu ya watanzania milioni kumi inamwagika ili tu wapate kura(kula).
 

time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…