Poor planning, poor Marketing strategy,
This will never work, wengi wanaonunua maji ya chupa ni wale ambao wanajiweza kifedha kiasi fulani na kundi kubwa katio ya hao HAWADANGANYIKI!!! atutomatically Hii kampuni ijiandae kwa natural death, kwani ni kosa kubwa sana kuhusisha biashara yako na itikadi fulani ya chama, kwani utakuwa kwa makusudi umejikosesha fungu fulani la wateja. Impact yake itaendelea hata baada ya uchaguzi, na wakumbuke tu kuwa CCM inawatumia kwenye kipindi hiki tu, na uchaguzi ukiisha imekula kwao.