Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Bado shuka hadi shuka!
Kampeni ya Shuka kwa Shuka inatekelezwaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado shuka hadi shuka!
Plastic za chupa za maji ni recyclable, kwani zinatoka na Polyethylene Terephthalate(PET) hivyo hazina impact katika mazingira. Kwa Tanzania kuna kampuni kadhaa sasa ambazo zinanunua chupa zilizotumika za maji.Hivi CCM wanaelewa athari za maplastiki hayo katika uharibifu wa mazingira? Sera ya CCM kuhusu mazingira inaruhusu CCM kutumia maplastiki haya yasiyo biodegradable ? Tumeshindwa kusafisha miji yetu, CCM wanataka kuongeza uchafu zaidi kwa kusambaza miplastiki hii ?
Hao chadema wanatoka Mars?Huu ni utapeli mkubwa sana wa kisiasa katika Taifa letu Tanzania, kama watu kweli wanataka mabadiliko basi wachague CHADEMA
Nawashauri wananchi wayasusie haya maji mpaka yaekisipae .
Haaaaa haaaa haaaa... CCM wapo mbele sana! Jitihada kama hizo zitaishia vichwani tu!..sasa hapo vyama vya upinzani vinatakiwa viweke tangazo la huyo mtoto anayekunywa maji machafu. halafu waweke nembo "feki" ya CCM na msg chagua CCM.
..ukiweka nembo halisi CCM wanaweza kukushitaki kwa ktk masuala ya hati miliki.
..they dont have to spend a lot, lakini nakuhakikishia hata hizo chupa chache zita-create a very big buzz. wanachotakiwa ni kuzisambaza hizo chupa maeneo mengi and the msg will spread like bush fire.