LGE2024 CCM wacharuana, Uchaguzi Mwananyamala-Kisiwani waahirishwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Zoezi la kupiga kura kwa ajili nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe mtaa wa Mwananyamala-Kisiwani jana, Oktoba 23 lilishindikana kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo baadhi ya majina kutokuwepo kwenye orodha ya wakazi, hivyo kusababisha uchaguzi kuhamishiwa Ofisi za CCM Kata ya Mwinjuma.

Your browser is not able to display this video.
Soma, Pia:
+
Vurugu zaibuka Uchaguzi wa CCM Kibosha Mkoani Pwani
+ Tanga: CCM waanza kupiga kura za maoni kwa wagombea kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa
+ Kigoma: Moto wa vurugu katika kura za maoni CCM umeendelea kukolea
 
Hiyo ni wao kwa wao, je wakiunganisha nguvu kupambana na Chama tofauti sipati hiyo picha.
 
Hapo washapiga vi double kik +visungura+ugoro +shot za kvant
Utawaambia nini

Ova
 
Wanapigani misosi hao.
 
Yule mama mnene wa mwanzo kaongea ukweli hawa wengine hawana kadi wamelamba pesa ndio maana wanashupaa wametoka cuf
 
Kurjuan hiyo, hamuwezi kuteka , kutesa na kuua watu wasio na hatia na mkabaki salama hata kidogo.
 
Kuna vikao vya saa sita za usiku CCM kunani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…