Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Mbona na wewe unasoma kimwendokasiKamanda unaandika huku unamuwaza mbowe
andika vizuri kamandaaaaa
HahahahahaMbona na wewe unasoma kimwendokasi
Joto Limezidi kupanda kwenye chama cha Mapinduzi ccm kuhakikisha bavicha hawaendi dodoma kusaidiana na pilisi kuti sheria bila shuruti wamebuni mbinu ya kizamani kutuma message kwenye simu usemao Mbowe awanyima bavicha wasiende Dodoma wakati siyo kweli
Kwa taarifa nilizonazo mikoa yote Tanzania Bavicha wanajianda kwenda Dodoma
nitaendelea pindi taarifa za kupotosha mpango huo utakavyokua unaendelea huko Lumumba
tuko na mabasi kwa sisi wa A town na Mara na mabasi yameishalipiwa tutaondoka kama abiria bila kuvaa kitu chochote cha chama na mikakati yote imeiva.TUNAKWENDA KULISAIDIA JESHI LA POLICE KWA SHURUTINA CCM LAZIMA WATII KAULI YA RAISI KUWA HAKUNA MIKUTANO HADI 2020.Bavicha wanaakili kuliko kawaida. Walijua wakitangaza, ccm wataawadhibiti. Ninachokifahamu mimi ni kwamba mikoa iliyotangaza ni michache tu. Mingine inakwenda kimya kimya sana. Na habari zisizo rasmi ni kwamba hawataenda kama makundi kwa na wataondoka kila mtu kivyake kwa tarehe maalumu. Watakutana Dodoma na hata intelijensia ya ccm imehsindwa kutambua hawa vijana wanakwenda Dodoma kuzuia mkutano wao kwa njia gani hasa.
Ccm jmewafundisha vijana hawa kutumia mbinu za medani. Hata wakifunga milango sasa wanapitia dirishani, wakiziba madirisha, wataingilia darini, wakiziba dari WAtawakuta ndani ili mradi wako nao kila mahali hadi kieleweke. Uzuri BAVICHA ni watu wa amani. Siyo kama UvCCm.
Joto Limezidi kupanda kwenye chama cha Mapinduzi ccm kuhakikisha bavicha hawaendi dodoma kusaidiana na pilisi kuti sheria bila shuruti wamebuni mbinu ya kizamani kutuma message kwenye simu usemao Mbowe awanyima bavicha wasiende Dodoma wakati siyo kweli
Kwa taarifa nilizonazo mikoa yote Tanzania Bavicha wanajianda kwenda Dodoma
nitaendelea pindi taarifa za kupotosha mpango huo utakavyokua unaendelea huko Lumumba
TUTAKUWEPOWatoto wa Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA nao watakuwepo huko Dodoma????
TUTAKUWEPO