Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Hebu weka video hapa tuione...Mbona Mbowe karekodiwa na Azam TV? Utasemaje kuwa sms zinasambazwa? Mbona hiyo sms hujaiweka humu kuthibitisha unachokisema? By the way mwenye chama ameshasema kuwa CHADEMA kimegraduate. Nawashangaa ninyi misukule bado mpo kindergaten