Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Rushwa ndani ya CCM ni kama damu ndani ya mwili wa binadamuKatika harakati za upatikanaji wa wabunge na madiwani wapo wagombea walio cheza rafu za wazi kabisa, yaani huhitaji hata VAR ili kujiridhisha na rafu za baadhi ya wagombea.
Wapo wagombea wengi walioshika namba 1hadi 5 wanahitaji umakini zaidi katika kuwateua, hao ndio walipiga wenzao buti za kufa mtu
Ww utakuwa unawapigia chapuo akina Steve nyerere , Lijualikali , mashinji , Joshua Nasary , Tumbiri , na meya wa arusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katika harakati za upatikanaji wa wabunge na madiwani wapo wagombea walio cheza rafu za wazi kabisa, yaani huhitaji hata VAR ili kujiridhisha na rafu za baadhi ya wagombea.
Wapo wagombea wengi walioshika namba 1hadi 5 wanahitaji umakini zaidi katika kuwateua, hao ndio walipiga wenzao buti za kufa mtu
Hao kura zao za chini mno hawabebekiWw utakuwa unawapigia chapuo akina Steve nyerere , Lijualikali , mashinji , Joshua Nasary , Tumbiri , na meya wa arusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida yako nini hapo-Uchaguzi Mkuu upo na hapo ni siasa na sera.Kuwarudisha wagombea kama akina Mrisho Gambo, Manyanya, Ngonyani ,Mapunda, Kapinga, Mwanjelwa, Masele, n.k ambao makatibu wao walishakamatwa na kukutwa na fedha za kuhonga wapiga kura ,unahitaji uthibitisho gani hapo, haiihitaji hata Huyo mchunguzi afike form four ili aweze kubaini
Kuwarudisha wagombea kama akina Mrisho Gambo, Manyanya, Ngonyani ,Mapunda, Kapinga, Mwanjelwa, Masele, n.k ambao makatibu wao walishakamatwa na kukutwa na fedha za kuhonga wapiga kura ,unahitaji uthibitisho gani hapo, haiihitaji hata Huyo mchunguzi afike form four ili aweze kubaini
Kwa ushindi wa masika mpwa mtoto wa dada haoni ndani. Lakini kwa ushindi wa NEC atakua WaziriJimbo la Kawe Saa mbili asubuhi linaenda kwa Mdee!! Mpwa Mtoto wa dada hakuna anayemjua hata kura hajaomba , Mandingo Mcheza Porno mtaji wake wa waamini sio wapiga kura ukija kwa yule mama anamjua mdee vizuri 2010 alikula za uso saa mbili tu asubuhi kwahiyo hana jipya.
umemwacha Silinde nasikia alishirikiana na dc kusambaza love usiku!Kuwarudisha wagombea kama akina Mrisho Gambo, Manyanya, Ngonyani ,Mapunda, Kapinga, Mwanjelwa, Masele, n.k ambao makatibu wao walishakamatwa na kukutwa na fedha za kuhonga wapiga kura ,unahitaji uthibitisho gani hapo, haiihitaji hata Huyo mchunguzi afike form four ili aweze kubaini
Yule alieshinda Kawe ni mtoto wa dada "yetu" yupi ?Kwa ushindi wa masika mpwa mtoto wa dada haoni ndani. Lakini kwa ushindi wa NEC atakua Waziri
Ni mtoto wa dada kule Chato na tulimlea wenyewe Oyster Bay tukiwa Mawaziri wa Mkapa.Yule alieshinda Kawe ni mtoto wa dada "yetu" yupi ?
Hiyo code sijaimamanua tafadhal
Eeeeeeeh kumbe ndio maana kaonyesha na dharau hata kuomba kura hamna?Ni mtoto wa dada kule Chato na tulimlea wenyewe Oyster Bay tukiwa Mawaziri wa Mkapa.
Hapa umefanya thread yako ionekane haina maanaSiwezi weka hapa majina hayo ya walioshinda na wasioshinda ambao walifanya madudu, ila kama members watataka nitaweka na madudu yao.
Na azan huyuhuy katupwa tena uchaguzi huu kwenye kura za maoni amepita tarimba wampitishe azan kuwa mgombea waone jimbo linarudi tena upinzaniWapeni watu mtu waliyemtaka. Unaweza toa rushwa na usichaguliwe. Unaweza toa rushwa na tayari watu wanakuamini so kutoa rushwa hakuna uhusiano na ushindi wako as watu walikukubali tangu mwanzo.
Azan katika uchaguzi wa 2015 jimbo la Kinondoni hakua anakubalika ndani ya CCM ya Kinondoni ila alipita kwa kuletwa na KK. Kilichofuata ni bwana Mtulia kujitwalia jimbo kizembe as wapiga kura walimuopt waliyemtaka (regardless katoa rushwa ama la) kisha KK ikaona hapana aje huyu huku.
Na siasa ni nini? Intro to Politics inasema siasa ni nani amepata mamlaka kivipi na kwa njia gani. Deep down katika siasa unatarajiwa kushawishi hata kwa rushwa. Ugiriki ya kale wagombea wa majimbo walikua wakiwalipia viingilio wapiga kura kuangalia mapambano ya gladiators.
Na hiyo ndiyo ilikua rushwa common.
Kinondoni bado ni ya upinzani hata wamlete huyo Tarimba hawawezi ambulia kituNa azan huyuhuy katupwa tena uchaguzi huu kwenye kura za maoni amepita tarimba wampitishe azan kuwa mgombea waone jimbo linarudi tena upinzani
Nafikiri muhimu sana ni kwa CCM kurudisha majina yanayokubalika kwa wananchi....Katika harakati za upatikanaji wa wabunge na madiwani wapo wagombea walio cheza rafu za wazi kabisa, yaani huhitaji hata VAR ili kujiridhisha na rafu za baadhi ya wagombea.
Wapo wagombea wengi walioshika namba 1 hadi 5 wanahitaji umakini zaidi katika kuwateua, hao ndio walipiga wenzao buti za kufa mtu
Kama vyombo vya uchunguzi vitafanya kazi zao kwa weledi hakika chaguzi zijazo za ndani ya chama hakutakuwa na punje ya Rushwa, lakini vyombo hivyo vya uchunguzi kama havikufanya kazi yake kwa umakini rushwa ndani ya CCM haiwezi kwisha
Njia pekee ni kuimarisha Vyombo vya Uchunguzi ndani ya chama, hii itasaidia kuondoa rushwa ndani ya chama.
Wako wagombea ambao waliwanunua viongozi wa chama wilaya na Mkoa, TAKUKURU na wafanyakazi wa ofisi ya usalama wilaya ili wawabebe.
Vitendo kama hivyo vimewafanya wanachama kusubiri maamuzi ya vikao vya juu ili kuona kama kweli yanayosemwa na viongozi wa juu wa chama yatatekelezwa.
Siwezi weka hapa majina hayo ya walioshinda na wasioshinda ambao walifanya madudu, ila kama members watataka nitaweka na madudu yao. Au kama wapo members wengine wanaofahamu madudu yaliyofanyika unaweza weka mgombea na madudu yake, kwa sababu JF ni jukwaa la wazi. Na hii itasaidia hata chama katika kufanya maamuzi.