Uchaguzi 2020 CCM wakirudisha majina haya nitaamini kweli Chama hakina Vyombo vya Uchunguzi

Uchaguzi 2020 CCM wakirudisha majina haya nitaamini kweli Chama hakina Vyombo vya Uchunguzi

Na azan huyuhuy katupwa tena uchaguzi huu kwenye kura za maoni amepita tarimba wampitishe azan kuwa mgombea waone jimbo linarudi tena upinzani
Watakua wamejifunza safari hii.
 
Wapeni watu mtu waliyemtaka. Unaweza toa rushwa na usichaguliwe. Unaweza toa rushwa na tayari watu wanakuamini so kutoa rushwa hakuna uhusiano na ushindi wako as watu walikukubali tangu mwanzo.

Azan katika uchaguzi wa 2015 jimbo la Kinondoni hakua anakubalika ndani ya CCM ya Kinondoni ila alipita kwa kuletwa na KK. Kilichofuata ni bwana Mtulia kujitwalia jimbo kizembe as wapiga kura walimuopt waliyemtaka (regardless katoa rushwa ama la) kisha KK ikaona hapana aje huyu huku.

Na siasa ni nini? Intro to Politics inasema siasa ni nani amepata mamlaka kivipi na kwa njia gani. Deep down katika siasa unatarajiwa kushawishi hata kwa rushwa. Ugiriki ya kale wagombea wa majimbo walikua wakiwalipia viingilio wapiga kura kuangalia mapambano ya gladiators.

Na hiyo ndiyo ilikua rushwa common.
Wewe na rushwa ni sawa na kondoo jike atembee akitngisha mkia. shame on you
 
Ni mtoto wa dada kule Chato na tulimlea wenyewe Oyster Bay tukiwa Mawaziri wa Mkapa.
Kwa hiyo sasa nchi inakuwa ya familia. Na Ccm wanajufanya hawaoni. Hi very i watangulizi wake wange fanya haya yeye ange karibia lango la Ikulu?
 
Haiwezekani kabisa! Vinginevyo Mchakato wa kupiga kura unaweza kuanza upya! Sina hakika kama kuna mahali ambapo Rushwa haikutembea.
Hata hao waliolalamika walizidiwa Dau.
 
Kuwarudisha wagombea kama akina Mrisho Gambo, Manyanya, Ngonyani ,Mapunda, Kapinga, Mwanjelwa, Masele, n.k ambao makatibu wao walishakamatwa na kukutwa na fedha za kuhonga wapiga kura ,unahitaji uthibitisho gani hapo, haiihitaji hata Huyo mchunguzi afike form four ili aweze kubaini
Umemsahau WAITARA
 
Katika harakati za upatikanaji wa wabunge na madiwani wapo wagombea walio cheza rafu za wazi kabisa, yaani huhitaji hata VAR ili kujiridhisha na rafu za baadhi ya wagombea.

Wapo wagombea wengi walioshika namba 1 hadi 5 wanahitaji umakini zaidi katika kuwateua, hao ndio walipiga wenzao buti za kufa mtu

Kama vyombo vya uchunguzi vitafanya kazi zao kwa weledi hakika chaguzi zijazo za ndani ya chama hakutakuwa na punje ya Rushwa, lakini vyombo hivyo vya uchunguzi kama havikufanya kazi yake kwa umakini rushwa ndani ya CCM haiwezi kwisha

Njia pekee ni kuimarisha Vyombo vya Uchunguzi ndani ya chama, hii itasaidia kuondoa rushwa ndani ya chama.
Wako wagombea ambao waliwanunua viongozi wa chama wilaya na Mkoa, TAKUKURU na wafanyakazi wa ofisi ya usalama wilaya ili wawabebe.

Vitendo kama hivyo vimewafanya wanachama kusubiri maamuzi ya vikao vya juu ili kuona kama kweli yanayosemwa na viongozi wa juu wa chama yatatekelezwa.

Siwezi weka hapa majina hayo ya walioshinda na wasioshinda ambao walifanya madudu, ila kama members watataka nitaweka na madudu yao. Au kama wapo members wengine wanaofahamu madudu yaliyofanyika unaweza weka mgombea na madudu yake, kwa sababu JF ni jukwaa la wazi. Na hii itasaidia hata chama katika kufanya maamuzi.
Mbona wanafahamika na wengine wamewekwa wazi kabisa na TAKUKURU huku wengine wakidukuliwa kama alivyodukuliwa MEMBE hadharani. Wanaofahamika kwa uhakika mpaka sasa kuwa walihonga japo list ni ndefu…ongezeeni hapo chini

1. Lusinde a.k.a Kibajaji (Huyu leo nimemuona kwenye shamrashamra za M/kiti wetu alipokuwa anachukua fomu za kugombea Urais ). Huyu Alidakwa " Red handed” Dodoma .Kuna tetesi kuwa amempigia magoti tayari mwenyekiti (Tunamfahamu Jiwe anavyopenda kusujudiwa) hivyo inawezekna jina lake tunaita kwa kisukuma "Double Standard"

2. Mary Mwanjelwa. Huyu nchi nzima sasa inafahamu uchafu wake. Wakirudisha jina tunakula kichwa....

3. Tulia Ackson (Rushwa ilikuwa inatolewa kwa kisngizi cha msaada kupitia taasisi yake ya Tulia Ackson) ushahidi upo wa kutosha.


4. Serukamba: Huyu kama Lusinde alidakwa na Takukuru
 
Back
Top Bottom