Uchaguzi 2020 CCM wako tayari kwa lolote, hawako tayari kukikabidhi nchi kwa Upinzani. Mnalijua hilo?

Hahahaha uzi wa makamanda wakipeana moyo

ni kweli waTZ wanataka mabadiliko lkn mpaka sasa hakuna chama cha siasa chenye sera rafiki kwa watanzania zaidi ya CCM chama cha baba na mama
Zanzibar ilikuwaje?
 
CCM ni mfumo wa maisha na si chama cha siasa.

CCM inajua fika kwamba itafanya lolote na hakuna wa kufanya kitu.

Jumuiya ya kimataifa imegawanyika na haipo pamoja, hii ni advantage kubwa kwa CCM.
 
Nimesikiliza maombi ya leo kwa kweli nilikaa tu kimya

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Atakayekuwa rais kupitia chadema nadhani bado hata chekechea hajaanza - na ni kweli nchi haikabidhiwi kama mtu anavyokabidhi kalamu ya Obama

CDM ondoeni wazo la Ikulu
Una elimu gani jamaa?
Sura yako inaonekana umezaliwa na kukulia kwenye umasikini uliotopea.
Hakikisha laana ya umasikini huirithishi kwa kikazi chako.
Fanya kazi kwa bidii,achana na kupenda vya kupewa. Toa jasho,ndio uanaume,sio kulamba viatu vya wenye nafasi kwa kulipwa ujira wa kukupeleka chooni.
Hao CCM wanakutumia tu kama karatasi ya chooni,kisha wanakutupa haja zao zikiisha.
 
Unachojaribu kusema ni upumbavu unategemea Magufuri kuna Mgombea wa kumshinda, watu mnaoshinda kwenye Mtandao mkiandika upuuzi bila kujua jamii inasemaje, mnafikiri nyinyi ndio wapiga kura ,mtakuja muniambia October 28 atakavyoshinda Magufuri, na huu upuuzi wenu utakuwa umefika mwisho
 
Utakabizije uraisi kwa mtu ambae hajashinda?
Hata kama ni wewe utakuwa na akiri kweli, umeshinda kisha unaacha ushindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…