Uchaguzi 2020 CCM wako tayari kwa lolote, hawako tayari kukikabidhi nchi kwa Upinzani. Mnalijua hilo?

Usiseme CCM. Sema Magufuli na vibaraka wake ndyo hawapo tyar ila kunampasuko mkubwa umo ccm wanatamani akatwe.


Punguza, punguza haiwezi kutokea katikati tya miaka kumi kukawa na mpasuko, ili wenye kupasua wafanye nini? Kama utakuwepo 2025 na sio leo.
 
Ccm ni malofa tu!!
 
wameandaa makao mapya huko visiwa vya Comoro!
 
Ndiyo TUNALIJUA HILO, kwa sababu unapozungumzia CCM, unazungumzia UMMA WA WATANZANIA ambao 28/10/2020 watajitokeza kumlipua Lissu na mabeberu wake na kuzidi kuiongoza nchi yetu nzuri ya Tanzania. Hayo usemayo ni "heresay na hayana concrete evidence, ni maneno yakulishwa na akina Amsterdam.
 
Nchi ni Mali ya watz sio Mali ya ccm. Uzuri mnaowategemea hamjawaongezea mishahara tegemeeni kugeukwa
 
Kuna mtu wa kitengo aliniambia maandamano yote yanakuwa na mamluki..likipigwa bomu wanakuwa wakwanza kukimbia kuleta taharuki...hatuko salama
 
Tundu anaenda kupata aibu ya dunia mwaka huu
 

Maombi mengi ya viongozi wa dini sasa hivi ni kama neno la Mungu lilo kwenye frame (background)ya majigambo ya ccm.
 
Hawako tayari wasikilizeni

Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.


Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
naona unaweweseka.mzee mbona hujiamini ? 2015 mafuriko ya ma mamvi je? mwisho wa siku raia walifanyaje?
hebu tuwe na kasmat ya kukubal
 
Wewe mbona ni kama mwanasesere mjinga jinga tu, umeandika nn sasa apo??
CCM daima, tunaelekea Mexico, chama kimetawala tangu nchi ipate uhuru, miaka 230 iliyopita.

Tuna elekea huko huko México tunarudia tuu, mfano tumekwisha onyeshwa.
 
Usihofu, acha waandae risasi na mabomu ya kutosha ili watumalize wote. Safari tutaingia barabarani kumfurusha huyu MKOLONI MWEUSI, HAKI HAIOMBWI..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…