PostGE2025 CCM walifanya kosa kubwa sana kukubali kuendelea na uchaguzi mkuu bila CHADEMA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Athari za kutoshiriki kwa CHADEMA katika uchaguzi mkuu

1. Ushindani wa kisiasa ulipungua kwa sababu chama kikuu cha upinzani hakikushiriki katika uchaguzi.

2. Wapiga kura walipata chaguo chache zaidi za kisiasa, hasa wale waliokuwa wanakiunga mkono CHADEMA.

3. Ushiriki wa baadhi ya wapiga kura ulipungua kwa kuwa baadhi yao hawakuona sababu ya kushiriki bila chama walichokiunga mkono.

4. Uhalali wa uchaguzi ulijadiliwa kwa kiwango kikubwa, ambapo wadau mbalimbali wa ndani na wa kimataifa walitoa maoni tofauti kuhusu ushindani wa uchaguzi.

5. Mvutano wa kisiasa uliongezeka kutokana na tofauti za mitazamo kuhusu kutoshiriki kwa CHADEMA.

6. Taswira ya demokrasia ya Tanzania ilijadiliwa na wadau mbalimbali, huku baadhi wakieleza kuwa kutokuwepo kwa chama kikuu cha upinzani kuliathiri mtazamo wa ushindani wa kisiasa.

7. Uwajibikaji wa kisiasa ulipungua, kwa mujibu wa baadhi ya wachambuzi, kwa sababu ushindani kati ya vyama ulipungua.
 
Hivi heading yako na ulichoandika ndani vinaendana kweli?
 
Naona Chadema mnajutia kutoshiriki sasa hivi.

Maisha yamekuwa magumu mnaishi kwa tone tone.
 
Athari za kutoshiriki kwa CHADEMA katika uchaguzi mkuu

1. Ushindani wa kisiasa ulipungua kwa sababu chama kikuu cha upinzani hakikushiriki katika uchaguzi.

2. Wapiga kura walipata chaguo chache zaidi za kisiasa, hasa wale waliokuwa wanakiunga mkono CHADEMA.

3. Ushiriki wa baadhi ya wapiga kura ulipungua kwa kuwa baadhi yao hawakuona sababu ya kushiriki bila chama walichokiunga mkono.

4. Uhalali wa uchaguzi ulijadiliwa kwa kiwango kikubwa, ambapo wadau mbalimbali wa ndani na wa kimataifa walitoa maoni tofauti kuhusu ushindani wa uchaguzi.

5. Mvutano wa kisiasa uliongezeka kutokana na tofauti za mitazamo kuhusu kutoshiriki kwa CHADEMA.

6. Taswira ya demokrasia ya Tanzania ilijadiliwa na wadau mbalimbali, huku baadhi wakieleza kuwa kutokuwepo kwa chama kikuu cha upinzani kuliathiri mtazamo wa ushindani wa kisiasa.

7. Uwajibikaji wa kisiasa ulipungua, kwa mujibu wa baadhi ya wachambuzi, kwa sababu ushindani kati ya vyama ulipungua.
nonsense 🐒
 
NDUGU MTOA MADA..SHIRINGI INAPANDE MBILI..WEWE UMETUMIA UPANDE MMOJA SASA UPANDE WA PILI NGOJA NIKUSAIDIE: HATA CHADEMA WALIKOSEA KUSUSIA UCHAGUZI. HIVYO BASI CCM NA CHADEMA WALICHEMKA.
 
Naona chawa wa mama wameanza kujisogeza kuja kujibu mashambulizi kwa kutumia vichambo, vijembe na kejeli! Kama ilivyo kawaida yao, badala ya kumjibu mtoa mada kwa hoja.

Binafsi hadi sasa siamini kama watu milioni 32 walijitokeza Iktoba 29, 2025 kwenye zoezi la kupiga kura! Lakini pia siamini kama mgombea wa ccm alishinda kwa kura milioni 31+ ambazo ni sawa 97.6%!!!!

Huu ni ni wizi wa wazi wa kura, na pia uongo ambao umelitia doa Taifa! Tulishuhudia wasimamizi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wakikosoa mchakato mzima. Niliwahoji wasimamizi kadhaa na wenyewe walithibitisha udanganyifu walioufanya.

Hivyo 2029 haya madudu yakijirudia tena! Nina uhakika uchaguzi mkuu wa 2030 hali itakuwa tete.

Hivyo ni vizuri watawala wakaacha kufanya mambo yao kwa mazoea. Wananchi wa leo ni tofauti kabisa na wale wa zamani. Kuanzia uelewa wao (wengi wamesoma walau mpaka form four tofauti na wale wengi wa zamani waoga wa darasa la saba), mitandao ya kijamii kwa sasa inatumika mpaka vijijini! nk. Wananchi wanajua haki zao.
 
Ya Lissu ilikua kiboko ndo kabisa alimaliza kila kitu unamweka jela Lissu how kwa kesi za Uhaini tena mwanasheria Nguli kama Lissu kwa kesi ya kishamba bado unaenda kumpoteza Mtu Polepole aisee kwa wakati mmoja unafanya big mistake mbili ya mwisho ni uchaguzi lakini kuna watu wanashinikiza aya kwa Samia au kumpotosha kwa maslahi binafsi lakini kutokana na mapungufu ya Samia wanatumia vibaya wanatuumiza Samia anatakiwa kua makini anapoletewa jambo tena kisiasa
 
Back
Top Bottom