PostGE2025 CCM walifanya kosa kubwa sana kukubali kuendelea na uchaguzi mkuu bila CHADEMA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna kosa ,ulitaka CCM wafuate matakwa ya Lisu? Mbona hata Sasa wanaendelea na habari zao za maridhiano na mambo yanaenda tuu?
 
Naona Chadema mnajutia kutoshiriki sasa hivi.

Maisha yamekuwa magumu mnaishi kwa tone tone.
Wenye akili ndani ya ccm wanapaswa kujifunza kitu kwenye tone tone.

In the very near future, ccm kinakwenda kuwa chama cha upinzani. Mali kilizopora kama viwanja vya michezo nk, zote zitarudishwa serikalini, pengine na kudaiwa kurudisha kama fidia, mapato yote haramu yaliyotokana na mali hizo.

ccm wataweza ku-survive kwa style kama hii tonetone ya chadema? Don't you forget, siku ccm kikiwa chama cha upinzani, hawa matajiri wanaowachangia mabilioni hamtawaona tena, wala hawatataka hata kusikia habari yenu.
 
Kwanini msiwaze maendeleo mnawaza mabadiliko ya vyama tu.

China imekuwa Taifa kubwa kiuchumi bila kubadili chama.
 
China imekuwa Taifa kubwa kiuchumi bila kubadili chama
Kama Ccm Kwa miaka yao 65 madarakani wangeleta maendeleo walau robo tu ya yale yaliyoletwa na Comunist Party of China, hamna mtu angehangaika kutaka itoke
Tatizo wamefail kabisa. Hata Yesu arudi atakuta Tanganyika ni masikini tu kama ccm watabakia madarakani
 
Huwezi sema CCM imefeli kabisa wakati chini yake umepata elimu bora iliyokufanya ujitambue.
 
Naona Chadema mnajutia kutoshiriki sasa hivi.

Maisha yamekuwa magumu mnaishi kwa tone tone.
cdm wajute kutoshiriki uhuni? Cdm wameruka kihunzi kilichotumika kuburuzwa vyama vya upinzani muda mrefu kwa hofu ya kuknosa ruzuku. Na cdm wasingejitoa muhanga vyama vya upinzani vingeendelea kuburuzwa na ccm kama wajinga.
 
cdm wajute kutoshiriki uhuni? Cdm wameruka kihunzi kilichotumika kuburuzwa vyama vya upinzani muda mrefu kwa hofu ya kuknosa ruzuku. Na cdm wasingejitoa muhanga vyama vya upinzani vingeendelea kuburuzwa na ccm kama wajinga.
Vyama 19 vimeshiriki mnaita uhuni??
 
Shiringi ndiyo kitu gani?
Hata hoja yake imekaa Tenge pia.Chadema walisema wazi kuhusu uchagua kwq matokeo ya uchaguzi wa selikari za mitaa 2024. Kufanya hivo ilikuwa kubariki haramu kama walvyofanya Act na vyama vingine
 
Vyama 19 vimeshiriki mnaita uhuni??
Idadi si hoja, hoja ni udanganyifu katika uchaguzi. Hivyo chama 17 ni vibaraka wa ccm. Wajinga ndio hujificha kwenye idadi, na sio uadilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…