CCM walijua Geoffrey Mwambe atalamba Miguu, Mnamtesa bure. Hawezi

CCM walijua Geoffrey Mwambe atalamba Miguu, Mnamtesa bure. Hawezi

Vyombo vyetu vya habari vimekaa kimya. Japo Mimi sio CCM ila Mwambe ni Hazina ya taifa. Ni mwanasiasa anayejali watu wa vyama vyote. Mtanzania halisi asiye na unafiki

Kwa mara ya kwanza nilionana naye akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Nilienda na Wanahabari, but alikuwa anaelezez sababu zinazo kwamisha uwekezaji. Moja wapp akasema ni uminyaji wa Demokrasia na utawala wa sheria
View attachment 3514401
Polisi mnamshikilia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)? Mtu mpole, hana matusi, hana ugomvi. Au mnataka awatukane chadema au wakosoaji ndo aonekane wa maana?

Kwa wanaomjua Antony Mtaka, ndo aina ya mwambe.

Hata Mtaka sijui kama atatoboa kwenye haya makucha ya wakina Abdul

CCM walijua Mwambe anadanganyika. Mwambe ni Msomi. CCM wenyewe ndo walimuingiza kwenye siasa.

Akili ndogo haiwezi tawala akili kubwa.

Sasa Polisi wanatumika kumtesa msomi wetu. Mwambe kasomeshwa na nchi aisaidie nchi sio kikundi cha watu kutoka Kizimkazi.

Sasa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP) na wenzake wawiili akiwamo Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (ZCO), wamefikishwa mahakamani kwa madai ya kumshikilia Waziri mstaafu, Geofrey Mwambe kinyume cha sheria.

Shauri hilo la maombi namba 289778/2025 limefunguliwa na Mwambe akiwa mwombaji kupitia kwa wakili wake, Hekima Mwasipu katika Mahakama ya Hakimu

Huyu ndo Mwambe

HUYU MTU NI NANI?
View attachment 3514409
Geoffrey Idelphonce Mwambe ni miongoni mwa viongozi vijana waliopanda ngazi kwa kasi katika uongozi wa umma nchini Tanzania, akipitia nafasi mbalimbali kuanzia ngazi ya wilaya, taasisi za kitaifa, hadi baraza la mawaziri katika awamu mbili tofauti za uongozi – ile ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Mwambe alianza kujulikana zaidi mwaka 2016 alipochaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida. Katika kipindi hicho, alihusishwa na kusimamia kampeni za uwajibikaji kwa watumishi wa umma na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo, hatua iliyomfanya kupata nafasi kubwa zaidi serikalini.

Mwaka 2017, Rais Magufuli alimteua kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), taasisi muhimu inayohusika na kuratibu na kuvutia uwekezaji nchini. Akiwa TIC, Mwambe aliongoza juhudi za kuongeza idadi ya miradi ya uwekezaji, kuboresha huduma kwa wawekezaji na kushughulikia changamoto za urasimu katika mifumo ya uwekezaji.

Kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Geoffrey Mwambe alichaguliwa kuwa Mbunge wa Masasi Mjini, Mkoani Mtwara. Mara baada ya kuingia Bungeni, Rais Magufuli alimteua kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara tarehe 5 Desemba 2020, nafasi aliyoitumikia hadi Machi 2021.

Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani kufuatia kifo cha Dkt. Magufuli, mabadiliko ya baraza la mawaziri yalifanyika ambapo Mwambe alihamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu kama Waziri wa Nchi anayeshughulikia Uwekezaji, kuanzia Machi 31, 2021. Katika nafasi hiyo aliendelea kusimamia mageuzi ya mazingira ya uwekezaji na kuendeleza majadiliano na sekta binafsi. Alifanya kazi hiyo hadi Januari 2022 wakati Rais Samia alipofanya mabadiliko mengine ya baraza la mawaziri.
Tulifanya makosa makubwa kumpa umakamu wa Rais. Familia isiyoeleweka asili yake, elimu yao, familia ya watu watekaji, watesaji, makatili, wauaji, mafisadi, wadini wanaojaza ndugu kwenye ungozi wote Tanganyika.

Hii familia kutoka kizimkazi inatuona Watanganyika wote ni watumwa wao tulipe kodi, watuteke tukae kimya ukiongea, ukipinga unatekwa kama ilivyokuwa wakati wa utumwa wakishrikiana na wasaliti, vibaraka, chawa kutuuza.
 
Halafu jeshi lipo linalinda watawala miungu watu
 
Kituo kinachofuata ni tumbili wa town,na kituo chawa wote kila mmoja kwa wakati wake na kwa jukumu lake la kipekee katika mlolongo wa utesi kwa Mtanzania.
Tumbili hawezi kutekwa, ni chawa wa mama pro max
 
Kubwa kuliko Mwambe ni Strategist wa wale watu tangu na tangu. Ni karata muhimu . #Radio mbao
 
Mti mbichi waziri mstaafu, kiongozi wa nchi kafanyiwa haya ,wewe mwezangu uliye vijijini uko fyengeleza au ichenjezya ndani ndani uko watakufanyaje
Jana hapa Liwale nimekutana na mwenyekiti mstaafu wa CCM wa mkoa fulani, akaniambia kuwa ile methali ya "zimwi likujualo halikuli likakwisha" si ya kweli, maana CCM ya sasa haitambui wewe ni nani au ulikuwa nani, linakukula na kukumaliza.
 
Mwanzo nilijua ni story tu za JF, ila mada zimekuwa nyingi. Ina maana huyu jamaa ametekwa kweli na genge la wahuni wa kizimkazi.

Kama kuna kundi ndani ya CCM/serikalini lina agenda tofauti inabidi walivunje kwa muda. Humo ndani kuna mole kati yao, anaewauza kwa Samia.
 
Jana hapa Liwale nimekutana na mwenyekiti mstaafu wa CCM wa mkoa fulani, akaniambia kuwa ile methali ya "zimwi likujualo halikuli likakwisha" si ya kweli, maana CCM ya sasa haitambui wewe ni nani au ulikuwa nani, linakukula na kukumaliza.
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom