CCM walijua Geoffrey Mwambe atalamba Miguu, Mnamtesa bure. Hawezi

Tulifanya makosa makubwa kumpa umakamu wa Rais. Familia isiyoeleweka asili yake, elimu yao, familia ya watu watekaji, watesaji, makatili, wauaji, mafisadi, wadini wanaojaza ndugu kwenye ungozi wote Tanganyika.

Hii familia kutoka kizimkazi inatuona Watanganyika wote ni watumwa wao tulipe kodi, watuteke tukae kimya ukiongea, ukipinga unatekwa kama ilivyokuwa wakati wa utumwa wakishrikiana na wasaliti, vibaraka, chawa kutuuza.
 
Halafu jeshi lipo linalinda watawala miungu watu
 
Kituo kinachofuata ni tumbili wa town,na kituo chawa wote kila mmoja kwa wakati wake na kwa jukumu lake la kipekee katika mlolongo wa utesi kwa Mtanzania.
Tumbili hawezi kutekwa, ni chawa wa mama pro max
 
Kubwa kuliko Mwambe ni Strategist wa wale watu tangu na tangu. Ni karata muhimu . #Radio mbao
 
Mti mbichi waziri mstaafu, kiongozi wa nchi kafanyiwa haya ,wewe mwezangu uliye vijijini uko fyengeleza au ichenjezya ndani ndani uko watakufanyaje
Jana hapa Liwale nimekutana na mwenyekiti mstaafu wa CCM wa mkoa fulani, akaniambia kuwa ile methali ya "zimwi likujualo halikuli likakwisha" si ya kweli, maana CCM ya sasa haitambui wewe ni nani au ulikuwa nani, linakukula na kukumaliza.
 
Mwanzo nilijua ni story tu za JF, ila mada zimekuwa nyingi. Ina maana huyu jamaa ametekwa kweli na genge la wahuni wa kizimkazi.

Kama kuna kundi ndani ya CCM/serikalini lina agenda tofauti inabidi walivunje kwa muda. Humo ndani kuna mole kati yao, anaewauza kwa Samia.
 
Jana hapa Liwale nimekutana na mwenyekiti mstaafu wa CCM wa mkoa fulani, akaniambia kuwa ile methali ya "zimwi likujualo halikuli likakwisha" si ya kweli, maana CCM ya sasa haitambui wewe ni nani au ulikuwa nani, linakukula na kukumaliza.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…