CCM walijua Geoffrey Mwambe atalamba Miguu, Mnamtesa bure. Hawezi

Mti mbichi waziri mstaafu, kiongozi wa nchi kafanyiwa haya ,wewe mwezangu uliye vijijini uko fyengeleza au ichenjezya ndani ndani uko watakufanyaje
Lukas anakuja kukujib kua hakuna aliye juu ya Sheria, ila Lukas Mungu anaona anayoyafanya na ipo siku atajuta
 
Jana hapa Liwale nimekutana na mwenyekiti mstaafu wa CCM wa mkoa fulani, akaniambia kuwa ile methali ya "zimwi likujualo halikuli likakwisha" si ya kweli, maana CCM ya sasa haitambui wewe ni nani au ulikuwa nani, linakukula na kukumaliza.
Tatizo anayewamaliza kwasasa ni dogo duli hajali chochote
 
Wataumiza na kutoana damu sana. Uzuri huko CCM walishaamua kutoana damu bila kelele na hata pale tulipotegemea wakemee maovu walikaa kimya. Acha wananchi nao wakae kimya tuone mwisho wake.
 
Puta madre
Hiyo lugha unamojifichia kutukana wewe umejifunza matusi tu mimi nimesoma Cuba hivyo naifahamu kuongea na kuandika fluently, sasa nakutukuna Kiswahili kwa tusi hilo hilo ulilonitukana mimi, wewe ni mwanaharamu na unamlala mamako mzazo, sawasawa?Na juu ya kumlala mamako mzazi wewe ni punga unaingiliwa kinyume cha maumbile.
 
gios tis skýlas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…