CCM walijua Geoffrey Mwambe atalamba Miguu, Mnamtesa bure. Hawezi

Mkuu kwan makosa ya kijinai ni makosa yapi? Maana sikuhis kosa la kuongea ukwel nayo ni uhani au jinsi! Nnaombeni mwenye kujua haya makosa ya kijinai ni kama yapi? Ambayo yanapelekea mtu kukamatwa na kuzungushwa vituo vya police ? Au sheria ya nchi hii jinsi inatofautiana kutoka kwa mtu 1 kwenda kwa mtu mwingine?
 
Hiyo kesi waliofungua ishakufa kabla haijaanza
 
Acha ku-google kvma wewe. Hiyo avatar itoe unaidhalilisha. Na nitakutafuta nikutoboe spika q.Umer mkubwa
 
Ni CCM walimpa, siyo watu wote. Tena CCM wachache. Ndiyo madhara ya chama kimojaa kukaa maarakani kwa muda mrefu.
 
Ukute washampa uhaini. Yeye ni mtaaluma. Magufuli akamwambia akagombee ubunge amsaidie kusimamia wizara kama waziri. Leo anateswa na misimamo yake. Mtu mwenye akili timamu huwezi kalia kimya ishu ya Polepole
Kama ni kwasababu ya kumtetea Polepole basi jela zitajaa!! Polepole alifichua wizi wa gange la wahuni na alipofanya hivyo alikuwa mwanaccm mwenzenu ambaye hata siku moja hakumtukana mtu bali alifichua uovu wenu. Je hilo ni kosa kwa jamii?
 
Matusi yako uwe unayaongea kwenye meza ukiwa unakula na mama yako, sio kwenye thread zetu kwani sio siye tulio kuzaa na tabia mbaya
Ungefuatilia kwa nini huyo ***** nimemtukana usingeadika huu upuuzi wako, sasa mama yangu anahusika vipi hapa? Au nikuokotee mawe?.
 
Eti Mwambe alikamatwa kwa kosa la kutaka kumuua mkuu wa Polisi. Eti kala njama🤣🤣🤣
 
Kumbukq kipindi Nicho akiwa mkurugenzi wa TIC ilikuwq ni chini ya serikali ya jpm. Hivyo ki ukweli uwekezqji uliisha kabisa enzi hizo. Mama alipoingia madarakani ndo uwekezqji umeimalika baada ya utawala w democracy na wa sheria. Chadema waliharibu baada ya kuchagua mwanaharakati badala ya mwenyeketi
 
Mti mbichi waziri mstaafu, kiongozi wa nchi kafanyiwa haya ,wewe mwezangu uliye vijijini uko fyengeleza au ichenjezya ndani ndani uko watakufanyaje
Mwambe ni maaya sana anatembea na wake za watu mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…