DuhNgoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa.
Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori.
Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya kumaliza walilipwa elfu 20. Zilisikika sauti za watu pale Mnara wa Mashujaa “ mkome ,Wajinga sana nyinyi”
Swali ni kweli CCM watapewa hela na watu? au watawapa hela then wakalipe kwenye account ya Chama
Pili tuliona Serikali wakichukua hela kutoka serikalini na kurekebisha Viwanja vya CCM yani hela za Kodi yetu sisi raia inaenda kwenye miradi ya Chama! Alafu kodi inaenda Chamani.!!
Yani wameweza kutoa hela kununua mabasi zaidi 10+ now wanataka hela kwa masikini?
Wananchi wachangie kampeni then walipe kodi kila siku. Upumbavu kama huu Kenya 🇰🇪 hawataki.
CCM wamekomba fedha zote hazina ya Taifa sasa wanataka kuhalalisha matumizi ya fedha walizokwapua kwa kuuza rasilimali za nchi!Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa.
Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori.
Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya kumaliza walilipwa elfu 20. Zilisikika sauti za watu pale Mnara wa Mashujaa “ mkome ,Wajinga sana nyinyi”
Swali ni kweli CCM watapewa hela na watu? au watawapa hela then wakalipe kwenye account ya Chama
Pili tuliona Serikali wakichukua hela kutoka serikalini na kurekebisha Viwanja vya CCM yani hela za Kodi yetu sisi raia inaenda kwenye miradi ya Chama! Alafu kodi inaenda Chamani.!!
Yani wameweza kutoa hela kununua mabasi zaidi 10+ now wanataka hela kwa masikini?
Wananchi wachangie kampeni then walipe kodi kila siku. Upumbavu kama huu Kenya 🇰🇪 hawataki.
Amini usiamini, MAZOMBIE WATACHANGIA!Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa.
Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori.
Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya kumaliza walilipwa elfu 20. Zilisikika sauti za watu pale Mnara wa Mashujaa “ mkome ,Wajinga sana nyinyi”
Swali ni kweli CCM watapewa hela na watu? au watawapa hela then wakalipe kwenye account ya Chama
Pili tuliona Serikali wakichukua hela kutoka serikalini na kurekebisha Viwanja vya CCM yani hela za Kodi yetu sisi raia inaenda kwenye miradi ya Chama! Alafu kodi inaenda Chamani.!!
Yani wameweza kutoa hela kununua mabasi zaidi 10+ now wanataka hela kwa masikini?
Wananchi wachangie kampeni then walipe kodi kila siku. Upumbavu kama huu Kenya 🇰🇪 hawataki.
Makonda alisema watu wanachangia CCM kwa hofu. Na ndio ukweli.Wanasema wanakirudisha chama kwa wananchi. Ni show off tu kuonyesha kwamba wana wanachama wanaowaunga mkono kwa hali na mali.
Nadhani pia ni kuwacheka CHADEMA. Tone tone yao imedoda lakini wao kwa siku moja wanapata bilions...
Tunatokaje kwenye hili?Hapana, hii pesa wanayo na washapewa na mafisadi wahuni aliowasema poleslow, wanajua kabisa hamna mtanzania wa kawaida anaweza kuchangia wala kuhoji so hapa wanatengeneza drama tu ya kuingiza huo mzigo kwenye system, yani kwa ufupi ni MONEY LAUNDERING YA MAMA
Tunatokaje kwenye hili?
Note!!!Mkuu tuna mtihani mkubwa sana, hamna namna zaidi ya massive turnout kama ya Ivory Coast, masisiemu hayana uoga wa upinzani wala mwenzao polepole au gwajima!
Hawaogopi kuua hata watu 100 kama walivyoua Kibiti zaidi ya watu 300! Watashtuka ikitoke watu kuanzia 300-1000 na kuendelea wakitokeza kwa wakati mmoja mana watajua kuna clips zinachukuliwa then atawajibika muhusika mwenyewe mambo yakibadilika.
Kumbuka wambura aijipii hana darasa zaidi ya risasi na mitutu hata kuongea anaogopa kwa sababu anajua udhaifu wake, kafika alipo kwa kuua so akili ya binadamu ina hulka, ikijua maisha ni nyundo tu ujue kila mahali itatumia manguvu tu na huyu kapewa kwa sababu hiyo, anaongea mara chache sna na utaona kila anachongea anaagiza au kushauri nguvu na mauaji ya watanzania tu!!