CCM walisambaza BAISKELI na PIKIPIKI Nchi nzima ili waje kukusanya hela kwa Wananchi hao hao

Maigizo
 
Mwanasiasa akikuambia ni usiku toka nje ukahakikishe!
 
Pesa za kununua pikipiki, baiskeli, vitenge, fulana, kofia na elfu kumi kumi za kugawia wananchi wa vijijini maskini walipata wapi hao CCM na sasa wanataka kuchangisha pesa za kampeni?

Hapo bado haijasaidia chochote wanaficha namna watakavyoanza kuchotapesa mabenki ya umma, mifuko ya jamii na miradi kusimamishwa ili waziponde pesa hizo kwa mwamvuli wa kuchangia gharama za kampeni ya ugombeaji madaraka.
 
Wanafanya ufisadi wa kutisha na Bado wananchi hao hao wanaowafanyia ufisadi kwenye nchi yao wanakuja kuwaomba pesa za uchaguzi...kumaammaye.!
 
Ndio maana Nchi ina deni la Trillion zaidi ya 100, kilichobaki ni kupigwa mnada tu kwa mujibu wa mwendazake Job Ndugai
 
UKIWA CCM KIWANGO CHA UJINGA KINAONGEZEKA AUTOMATIKAL. MAKALA ANA CPA LAKINI ANAZUNGUMZA KAMA MTU WA SOKONI TU.
YAANI UNAWEZAJE KUHUSISHA VIRUSI VYA EBOLA NA MPOX KWENYE MICHANGO YA WANACHAMA
HAYA SASA ATWAMBIE ILE YA CCM NAYO INAENDA KUNUNUA NINI?
 
Baiskeli hizo zivunjwevunjwe ni hadaa kwa watanzania!
 
UKIWA CCM KIWANGO CHA UJINGA KINAONGEZEKA AUTOMATIKAL. MAKALA ANA CPA LAKINI ANAZUNGUMZA KAMA MTU WA SOKONI TU.
YAANI UNAWEZAJE KUHUSISHA VIRUSI VYA EBOLA NA MPOX KWENYE MICHANGO YA WANACHAMA
HAYA SASA ATWAMBIE ILE YA CCM NAYO INAENDA KUNUNUA NINI?
Elimu za Tanzania hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…