CCM walisema Samia hana deni, Sasa atafanya kazi gani?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Luhaga mpina aliposema kuwa watu wa Kisesa bado wanamdai Samia Suluhu Hassan maendeleo, baadhi ya wana CCM walilipuka kwa hasira mithili ya Volkano.

Kama wana CCM waliamini kuwa Samia Suluhu Hassan Hana deni la kuleta maendeleo Kwa watanzania nchi nzima, Kwa miaka mitano hijayo akiwa Rais ... Atakuwa anafanya kazi gani?
 
Ni kweli hatumdai
 
Hizo zilikuwa porojo za uchawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…