MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
Unajua hata aliyepata four anahesabika amefaulu ?Sio poa, ziro 68 kwa zamani ilikuwa ni ziro ya shule mbili kubwa pekee lakini sasa hivi ni nchi nzima. Yaani kupata ziro unakuwa celebrity, maana mko wachache sana.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Dr. Said Mohammed ametangaza matokeo ya kidago cha sita leo July 07,2025 Visiwani Zanzibar ambapo kati Watahiniwa wa Shule waliofaulu ni 125,779 sawa na 99.95% ya Watahiniwa wenye matokeo.
Dr. Said amesema βWatahiniwa walioshindwa mtihani ni 68 sawa na 0.05%, mwaka 2024 Watahiniwa 103,252 sawa na 99.92% ya Watahiniwa wa Shule walifaulu, hivyo ufaulu wa Watahiniwa wa Shule umeongezeka kwa 0.03% ikilinganishwa na mwaka 2024β
#MillardAyoUPDATES
Ongezeko la asilimia 0.03 ni kama hakuna je mwaka Jana walikua wanasaka kura auSio poa, ziro 68 kwa zamani ilikuwa ni ziro ya shule mbili kubwa pekee lakini sasa hivi ni nchi nzima. Yaani kupata ziro unakuwa celebrity, maana mko wachache sana.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Dr. Said Mohammed ametangaza matokeo ya kidago cha sita leo July 07,2025 Visiwani Zanzibar ambapo kati Watahiniwa wa Shule waliofaulu ni 125,779 sawa na 99.95% ya Watahiniwa wenye matokeo.
Dr. Said amesema βWatahiniwa walioshindwa mtihani ni 68 sawa na 0.05%, mwaka 2024 Watahiniwa 103,252 sawa na 99.92% ya Watahiniwa wa Shule walifaulu, hivyo ufaulu wa Watahiniwa wa Shule umeongezeka kwa 0.03% ikilinganishwa na mwaka 2024β
#MillardAyoUPDATES
Elimu ilisha zikwa mkuu.Sio poa, ziro 68 kwa zamani ilikuwa ni ziro ya shule mbili kubwa pekee lakini sasa hivi ni nchi nzima. Yaani kupata ziro unakuwa celebrity, maana mko wachache sana.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Dr. Said Mohammed ametangaza matokeo ya kidago cha sita leo July 07,2025 Visiwani Zanzibar ambapo kati Watahiniwa wa Shule waliofaulu ni 125,779 sawa na 99.95% ya Watahiniwa wenye matokeo.
Dr. Said amesema βWatahiniwa walioshindwa mtihani ni 68 sawa na 0.05%, mwaka 2024 Watahiniwa 103,252 sawa na 99.92% ya Watahiniwa wa Shule walifaulu, hivyo ufaulu wa Watahiniwa wa Shule umeongezeka kwa 0.03% ikilinganishwa na mwaka 2024β
#MillardAyoUPDATES
Haya matokeo ndio tunaona product zake mtaani na makazini wanafunzi kufaulu pasipo kua na maarifa ni kujifanganyaSio poa, ziro 68 kwa zamani ilikuwa ni ziro ya shule mbili kubwa pekee lakini sasa hivi ni nchi nzima. Yaani kupata ziro unakuwa celebrity, maana mko wachache sana.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Dr. Said Mohammed ametangaza matokeo ya kidago cha sita leo July 07,2025 Visiwani Zanzibar ambapo kati Watahiniwa wa Shule waliofaulu ni 125,779 sawa na 99.95% ya Watahiniwa wenye matokeo.
Dr. Said amesema βWatahiniwa walioshindwa mtihani ni 68 sawa na 0.05%, mwaka 2024 Watahiniwa 103,252 sawa na 99.92% ya Watahiniwa wa Shule walifaulu, hivyo ufaulu wa Watahiniwa wa Shule umeongezeka kwa 0.03% ikilinganishwa na mwaka 2024β
#MillardAyoUPDATES
AlitagaSaa100 alipata Division Gani?
Ingetakiwa kuwa Division 2 ya 10, itakuwa ni negligence ya hali ya juu, sio hata oversight tenaSamia mhuni. Kuna dogo hapa kapewa daraja na alama za uwongo. Amepata :-
BAM...... B
PHY........C
CHEM... C
BIOL....... D.
Halafu wameandika kapata Div 1. Point 8. (Badala ya Div 2, Point 10).
Wamejumlisha mpk alama za BAM.
Nadhani excel yao formula yao ya kuhesabu P C B ilichukua P C BAM badala ya P C BIO..Samia mhuni. Kuna dogo hapa kapewa daraja na alama za uwongo. Amepata :-
BAM...... B
PHY........C
CHEM... C
BIOL....... D.
Halafu wameandika kapata Div 1. Point 8. (Badala ya Div 2, Point 10).
Wamejumlisha mpk alama za BAM.
Wee jamaa π π π π π duuuh watu mnamchokonoa hadi sa100Saa100 alipata Division Gani?