King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mitano tena ,zero kutakuwa hakuna kabisa mpaka 2030....OCTOBER TUNATIKI.Sio poa, ziro 68 kwa zamani ilikuwa ni ziro ya shule mbili kubwa pekee lakini sasa hivi ni nchi nzima. Yaani kupata ziro unakuwa celebrity, maana mko wachache sana.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Dr. Said Mohammed ametangaza matokeo ya kidago cha sita leo July 07,2025 Visiwani Zanzibar ambapo kati Watahiniwa wa Shule waliofaulu ni 125,779 sawa na 99.95% ya Watahiniwa wenye matokeo.
Dr. Said amesema “Watahiniwa walioshindwa mtihani ni 68 sawa na 0.05%, mwaka 2024 Watahiniwa 103,252 sawa na 99.92% ya Watahiniwa wa Shule walifaulu, hivyo ufaulu wa Watahiniwa wa Shule umeongezeka kwa 0.03% ikilinganishwa na mwaka 2024”
#MillardAyoUPDATES
Utakuwa hujajaza hata namba ya mtihani. Maana hata ukijaza namba umefaulu.Elimu ilisha zikwa mkuu.
Elimu ya sasa ukifeli wewe nunda
Ni 2 ya 8.Ingetakiwa kuwa Division 2 ya 10, itakuwa ni negligence ya hali ya juu, sio hata oversight tena
Hiyo B ni ya Bam kwahiyo angetakiwa kuhesabiwa core subjects na sio subsidiaryNi 2 ya 8.
B=2
C=3
Hivyo B+C+C=2+3+3=8
Elimu ya sasa ukifeli maanayake wewe hujui hata kusoma na kuandikaSio poa, ziro 68 kwa zamani ilikuwa ni ziro ya shule mbili kubwa pekee lakini sasa hivi ni nchi nzima. Yaani kupata ziro unakuwa celebrity, maana mko wachache sana.