a sinner saved by Christ JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 4,014 Reaction score 4,600 Mar 18, 2026 #21 1.Wanazirekebisha wanabadilisha rangi za chama zinaondolewa ,zinakuwa mpya ,waziri wa vijana anawakopesha vijana wafanye boda boda...gen z .. 2.Zinafungwa GPS ambazo haitakiwi kutolewa zinagawiwa kwa chawa kwa utaratibu maalumu na vigezo na masharti kuzingatiwa. 3.lucas mwashambwa,tlah tlah,choice,.. wapewe kipaumbile kwanza chawa waandamizi wagawiwe kwanza Lucas Mwashambwa @tlqh tlaa
1.Wanazirekebisha wanabadilisha rangi za chama zinaondolewa ,zinakuwa mpya ,waziri wa vijana anawakopesha vijana wafanye boda boda...gen z .. 2.Zinafungwa GPS ambazo haitakiwi kutolewa zinagawiwa kwa chawa kwa utaratibu maalumu na vigezo na masharti kuzingatiwa. 3.lucas mwashambwa,tlah tlah,choice,.. wapewe kipaumbile kwanza chawa waandamizi wagawiwe kwanza Lucas Mwashambwa @tlqh tlaa
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Mar 18, 2026 #22 antimatter said: Duh, Kumbe machawa huwa wanadanganyiwa kwa muda fulani tu Click to expand... Inasikitisha sana kwa kweli.
antimatter said: Duh, Kumbe machawa huwa wanadanganyiwa kwa muda fulani tu Click to expand... Inasikitisha sana kwa kweli.
Kubwjing JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 3,289 Reaction score 5,964 Mar 19, 2026 #23 Hata Lucas Mwashambwa watamnyang'anya?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Mar 19, 2026 #24 Wanakusanya chuma chakavu wakauze scrap ( skrepa)
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 19, 2026 #25 Aiseeeee
M MONEY IS NOT EVERYTHING JF-Expert Member Joined Sep 11, 2024 Posts 2,242 Reaction score 3,161 Mar 19, 2026 #26 Aisee ! Kazi wanayo wengine walishaibiwa.