jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Hatmaye CCM wameanza kuumizana wao kwa wao "kiukweli-ukweli!"
Nasema kiukweli-ukweli kwa sababu kabla wana CCM walikuwa wakiumizana huku waki-fake kuumizana kwao kwa dhana ya "huyu ni mwenzetu."
Leo, kidume na kijana aliyelelewa ndani ya chama,kadhalilishwa bila kujali ukada wake.Inafikirisha!
Haikuwa rahisi hata kidogo kwa aiana ya mtu na kada wa kiwango chake huko nyuma kufikiwa hatua ya kufanywa vile alivyofanyiwa yeye leo! Kada,tena aliyepata kuwa kiongozi wa vijana,wilaya na mtu aliyelindwa kwa hali na mali eti leo anamwaga machozi ndani ya pingu?!
Si ubaya kuwajibishana kwa mapungufu na makosa katika eneo la kazi.
Si dhambi kufungwa kwa kiongozi aliyetumia madaraka yake vibaya.
...lkn hofu yangu kama hawa "wenzetu" wamefikia hatua ya kuwajibishana kwa kukomoana hakika laana ya kukomoana kwao itawatafuna na lazima kisasi ni rasmi kimezaliwa ndani ya CCM.
Lau, kama kuwajibishana huko kutakuwa ni kwa mujibu wa sheria za Nchi hakika nuru na dira ya kufikia hatua ya Viongozi wetu kutenda yale tu yawapasayo kwa mujibu wa sheria itaanza kumea.
JE, KISASI NDANI YA CCM KIMEANZA RASMI?
Mungu ibariki Tanzania.