CCM wamekataliwa huku mikoani au wananchi wapo busy na kilimo?

Mikutano ya adhara ya CCM kukosa wafuasi na kugubikwa na watoto inaleta tafsiri ya kukataliwa au wazazi wa watoto wapo busy na kilimo?
Namba uliyopiga kwa sasa haipatikani, jaribu tena baadae,
 
Mikutano ya adhara ya CCM kukosa wafuasi na kugubikwa na watoto inaleta tafsiri ya kukataliwa au wazazi wa watoto wapo busy na kilimo?
wamekataliwa na kwa uchaguzi wa tume huru, CCM imekwisha. Naona na vigagula vya Jiwe vimeanza kujitokeza sasa bada ya kuona mrithi wa Jiwe anaanza kuyumba
 
Back
Top Bottom