Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
Push Mobile iko siku nyingi mbona. kama huduma za kupiga kura kama kwa washiriki au washindani wa mashindano mbali bali kama BSS n.k zinakuwa faciliated na Push mobile na si kampuni za simu. Kampuni za simu zinaprovide infastructure ya kuwafkia walengwa tu.
Nadhani Kupata matanagazo kupitia kwenye Simu ni njia sahihi ya matumizi ya TEKNOHAMA. lakini ni muhimu mtumiaji akapewa haki ya ku opt kukubali kupokea matangazo na promotion za biashara au kukataa.
Sidhani Pia kama matangazo haya yanahatarisha privacy ya mtu sababu ikitumwa messeji wanatuma kwenye number na si kwa mtu specific. hawajui nani ni muhusika Naamini kwa hili kampuni za simu haziprovide privacy info za watu.
faida nyingine ingawa haya matangazo yanakera they keep us informed
The challlenge kama baadhi ya wadau walivyosema tunahitaji habari kama hizi si tu kwenye siasa lakini pia za kuchangia maendeleo kama kujena shule, hospitali kunchangia yatima wazeee. kujua duka lenye promotion ya bidhaa kkoo. nk