Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Katiba, tume huru ya uchaguzi, police wasitumike kisiasa ni mali ya watangsnyika. Je tangu lini CCM wakawaza haya mema?Acha kubadiri tatizo moja kila siku...Toa suruhisho.
Rushwa itatembea balaaUchaguzi wa 2025, CCM watatumia fedha nyingi sana ili kuhonga. Waarabu watamsaidia Samia ili abaki kuwa rais na wao waendelee kukomba nchi. Upinzani wanatakiwa kuanzisha kampeni ya ''kula kwa CCM, kura kwa upinzani''. Tukatei huyu kibaraka wa waarabu!
Wanakuja na polisiWajichanganye waje kwangu nitawakimbiza na mikuki
CCM muda wote wanawaza madaraka ili waibeBuku 10 na pilau ndiyo wakati wake sahivi
Ova
Lakini itanishangaza sana kuona nchi hii iwe imekwisha poromoka kufikia kiasi hiki.Uchaguzi wa 2025, CCM watatumia fedha nyingi sana ili kuhonga. Waarabu watamsaidia Samia ili abaki kuwa rais na wao waendelee kukomba nchi. Upinzani wanatakiwa kuanzisha kampeni ya ''kula kwa CCM, kura kwa upinzani''. Tukatei huyu kibaraka wa waarabu!
Hakuna utapeli katika 'Sayansi' kama hujui!Siasa ni Sayansi 😂🔥
Nitawapiga mbele ya polisi.maana hiyo ni rushwaWanakuja na polisi
Wanandikisha wajinga, nasema kila siku humu Ujinga ni Industry kwa CCMWasaam,
Leo nilikua mitaa ya Vingunguti nilienda salamia jamaa zangu nikashangazwa na viongozi wa CCM kupita nyumba hadi nyumba kuandiksha wapiga kura kwa kuwapa ahadi za kuja kuwagawia pesa na mikopo mbalimbali wakati uchaguzi ukiwadia.
Kiukweli hii ni rushwa ya kisiasa kama sio kampeni kabla ya kuruhusiwa kampeni, au tuseme labda ni haki yao kikatiba?
Naamini ingekuwa ni CHAMA chengine cha siasa basi police wangeshawazingira na msajili wa vyama vya siasa angeitisha press haraka na kulaani.
Uko sahihi mkuuKama haya uliyo eleza hapa yana ukweli wowote, hata theluthi moja tu ya ukweli (na sina sababu ya kukuhoji juu yake); ule unaoitwa "UJINGA" wa waTanzania unaanzia hapa hapa kuruhusu haya yaendelee kuwepo.
Lakini, kama nilivyo wahi kueleza, huu siyo "ujinga" wa waTanzania; bali ni sehemu ya mwendelezo wa "UTEKAJI" wa waTanzania na genge hili ndani ya CCM.
Hii ndiyo hatua inayotakiwa kukataliwa kwa nguvu zote na wote wanaojiamini wao siyo wajinga wala mateka.
Kuruhusu upuuzi wa namna hii kuendelea kuwepo ni dhambi kubwa sana waTanzania wa leo wanayoitendea nchi yao.
Inabidi nieleze uhusiano wa zoezi hili na "utekwaji" wanaofanyiwa waTanzania bila wao kujitambua.
Waziri wa Mambo ya Ndani (Msabuni, ndiyo najua jina lake); hivi karibuni amenukuliwa akihimiza wajumbe wa nyumba kumi kuwafikia wananchi kwa zoezi hilo; na kajitapa kwamba yeye ndiye mkuu wa "mapolisi".
Sasa kinacho shangaza, vyama vya upinzani, hususani CHADEMA ni kama hawaelewi kinachozungumzwa na mtu kilaza kama huyo.
CCM tayari wamo kazini kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa maandalizi ya kuvuruga uchaguzi mkuu!
Halafu kila mtu anajifanya kama hajui chochote kinacho endelea!