Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 Aug 3, 2025 #1 CCM wanaposema kuwa hakuna muda wa kurekebisha Katiba, wamesahau waliunda mpaka bunge la kurekebisha Katiba?
CCM wanaposema kuwa hakuna muda wa kurekebisha Katiba, wamesahau waliunda mpaka bunge la kurekebisha Katiba?
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,912 Reaction score 10,754 Aug 3, 2025 #2 Ile mahakama Feki ya Mafisadi imejifia kifo cha mende
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 Aug 3, 2025 Thread starter #3 bhachu said: Ile mahakama Feki ya Mafisadi imejifia kifo cha mende Click to expand... Kawaida Yao kuwavuruga watanzania na kufuja Hela zao!!
bhachu said: Ile mahakama Feki ya Mafisadi imejifia kifo cha mende Click to expand... Kawaida Yao kuwavuruga watanzania na kufuja Hela zao!!
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,161 Aug 3, 2025 #4 Wamechagua kuwa wajinga wakati wa kwenda na kurudi.