Elections 2010 CCM wameshashinda uchaguzi huu

Hatutaki Chama Cha Mafisadi.Tumeonewa kiasi cha kutosha,tumepuuzwa kiasi cha kutosha....
 
Huna takwimu za kweli.............yes mafisadi nawe damdamuu,,,,,,tumemchoka koiongozi aliyemstari wa mbele wkuwas
amehe wezi wa mali ya umma..inawezekana kabisa mwandishio sio raia wa tz km ni raia basi sio wa kuzaliwa bali wa kuomba hivyo huwezi kuwa na uchingu na nchi ya wenzio km ilivyo kwa akina rostam aziz hawezi kuwa na uchungu na sisi kwanio roho yake bado inafikiria kuifanya tz iwe nchi ya utumwani ya bado inasubiri musa wa kuikomboa..........
 
Mwanaume basi kama kaanguka chali....wale mushkeli kuangukia uso...kifudifudi.....:becky:
 
Malumbano hayana haya - twendeni kupiga kura hapo Oct 31.

CCM kuwavisha watu sare za bure hata ambao sio wanachama, kupokea kadi feki na viongozi feki alikofanya JK, sasa hivi Tendwa ana kigugumizi cha kuongea nadhani hajawahi kupata chalenji kama hii tangu aanze kazi. CCM kila kiongozi ni tajiri, wanaupataje?

Chagua CHADEMA 2010
 
nafikiri imeeleweka
jamani tujaribu kuwa wakweli Rais atatoka CCM hawa wengine watatoka upinzani
kwa kuwa tunataka mabadiliko tujitahidi kuwapigia wabunge,,madiwani wa upinzani
si lazima ila ukifanya utafanya jambo la maana kwa wanamapinduzi wote
 
Naomba sababu na umuhimu wake...
 
nafikiri imeeleweka
jamani tujaribu kuwa wakweli Rais atatoka CCM hawa wengine watatoka upinzani
kwa kuwa tunataka mabadiliko tujitahidi kuwapigia wabunge,,madiwani wa upinzani
si lazima ila ukifanya utafanya jambo la maana kwa wanamapinduzi wote
Ushauri wako hauna mantiki yoyote, labda ufafanue vizuri.
 
nafikiri imeeleweka
jamani tujaribu kuwa wakweli Rais atatoka CCM hawa wengine watatoka upinzani
kwa kuwa tunataka mabadiliko tujitahidi kuwapigia wabunge,,madiwani wa upinzani
si lazima ila ukifanya utafanya jambo la maana kwa wanamapinduzi wote

Unadhani katika utaratibu huo unaopendeza,nchi itakwenda vizuri(itatawalika)-itakuwa-governable? nipe mfano mmoja wa nchi hapa duniani ambayo inaeneshwa katika mfumo unaotaka na hali katika nchi hiyo ni shwari.
 
:A S 8:dah!hii kali,huyu ndie mtz wa kweli, mafisadi wake wa ccm hawajampa hata elimu ya msingi.hata jumlisha zinamuumbua? masikini jeyjey!
 
BADO TANZANIA HAKUNA UPINZANI KWANI WAGOMBEA KARIBU WOTE WA UPINZANI HAWAJUI SIASA WAMEKALILI SIASA NI MATUSI. BADO SANA KWA TZ KUTAWALIWA NA CHAMA KINGINE MPAKA WAJIFUNZE SIASA KUTOKA KWA NCHI ZINGINE. C.C.M BADO JUU JK ZAIDI😛layball:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…