Elections 2010 CCM wameshashinda uchaguzi huu

Elections 2010 CCM wameshashinda uchaguzi huu

90% + 15% + 5% =110%
Hili ni thibitisho kuwa kuna wizi wa kura kwani JeyKey anatuambia ni lazima idadi ya wapiga kura izidi ile ya waliojiandikisha.

HIVI USHINDI WA KISHINDO NI NINI????????
Kwangu mimi atakayeshinda kwa kishindo sio yule aliyepata kura nyingi BALI yule aliandaa mazingira mazuri ya jamii ya wa-tz kushinda maadui Ujinga, umasikini na maradhi. HUYU NDIYE MSHINDI. Hata ukipata 1000% lakini hakuna maisha bora kwa vitendo ni upuuzi mtupu tu. Kutawala kwa serikali ya CCM miaka yote hii lakini wananchi wana umasikini wa kutupwa hii ni kufuru. Kumbuka CCM mtadaiwa damu za akina mama waliokufa kwa kukosa huduma nzuri, watoto wanaokufa kwa kukosa huduma za afya, damu za ndugu zetu zinazomwagika kwa ajali zinazoweza kuzuilika, n.k.
 
Japo mahesabu yalikupita kushoto lakini mwaka huu ngoma tight. Hapati percent za wizi kama uchaguzi uliopita.
 
hesabu za milinganyo (equations) katika kura ccm definitely watashindwa. wamezoa za enequalities ili wapate ushindi wanaodai wa kishindo halafu wanalazimisha ziwe equations!
Jey Key sasa hivi si uko kwenye msafara ndani ta jacket la kikwete Press? hesabu waachie wanazijua
 
wataalam wameona uchaguzi wa mwaka huu inaweza ukawashangaza
wengi mana dalili zinaonesha JK atashinda kwa 90% akifatiwa na Dr Slaa 15%

Weweweli JK maana kama kawa hesabu ulipata (negative) hata mwalimu ulimwibia akili zake na nguvu zake.

na hawa wataalam wako ni wataalam gani hao wanafanya uchunguzi wa aina hii! Du naogopa kuitwa mtaalam!!!!
Yawezekana una maana yako, kuwa ushindi huu utakuwa wa kushangaza wengi maana kuna zaidi ya asilimia 100, kuwa kuna kura kibao za wenzangu ambao huwa hawapendi kupanga folenisiku ya kupiga kura nao atawapigia, na wengine atawaongeza. Hapo itakuwa hivyo.

Anyway tuombo Mungu, nayo matokeo
 
Japo mahesabu yalikupita kushoto lakini mwaka huu ngoma tight. Hapati percent za wizi kama uchaguzi uliopita.

NAona wameshaona hili na kama walivyozoea kutoa siri siku hizi, na hili wakati wakicauculate walipata hiyo, Jamaa akachomoka kutwambia
Lakini Jeykey wenzio walibadilisha. kachukue zile ratio mpya zinazoleta 100% pamoja na zilizoharibika
 
wataalam wameona uchaguzi wa mwaka huu inaweza ukawashangaza
wengi mana dalili zinaonesha JK atashinda kwa 90% akifatiwa na Dr Slaa 10%

Hii itakuwa ushindi wa kishindo

Mpaka sasa Dr Slaa hajaanza kampeni anaogopa aanzie wapi

Ushauri wa bure kwako mkuu Jeykey
Shughulika na mambo yanayokuletea faida na ufanisi katika maisha yako, hizi thread unazotuma kila siku zisizo kuwa na maana yoyote katika jamii sidhani kama zinakusaidia kukujenga wewe binafsi na jamii inayokuzunguka. Mfano mdogo tu ni iyo kujumlisha asilimia (90+15+5) utapata 110% ukiandika kwa watu makini wenye uelewa watakuangalia mara mbili mbili na kukuona umepungukiwa vitu fulani kwenye ubongo wako. Na yote utakayokuwa unayasema hayatachukuliwa kwa umakini ata kama utakuwa unaongelea jambo lenye maana katika jamii, watu watakuchukulia kimzaha mzaha. Ushauri wa bure, lets be constructive nchi ni yetu sote na kila mtu anapenda kuona wananchi wote wanaishi a decent life kama binadamu wenzao.
 
JK haibi kura mwaka huu watu wanamesema wanampa

Kumbe mwaka ule aliiba!
nadhani mwaka huu ataiba zaidi. tatizo siyo yeye physically ila ni wale wanaokaa vikao ili baadae awamegee mapande ya uongozi mbalimbali.

Ataiba tu kupitia watu wake kama kawa!!!
 
JK 90% Slaa 15% Lipumba 5%

Started by Jeykey, Today 11:00 AM
tag.png

Replies: 20

  • Views: 0
Last Post By:Last Post: Today 11:26 AM by Butola Forum:
Uchaguzi Tanzania 2010
hehehehe
angalia bold hapo juu halafu at same time cheki hapa chini
Topic Information

Users Browsing this Topic

There are currently 14 users browsing this thread. (10 members and 4 guests)

 
Braza Jeykey, elimu ya madrasa peke yake haitoshi katika dunia ya leo. Walau kasome na hesabu basi...
 
Mimi sina ugonvi na JEYKEY wala simjui; isitoshe ni mgeni sana hapa jamvini. Ila post zake zinaonekana kupwaya sana na zinatia shaka. JF ni pahali pa watu makini ambao wanatoa hoja na kusaidia kuamsha fikra (great thinkers) na sio bongo lala. Tafadhali wakuu ebu fuatilia post zake huyu. Anatupotezea muda kwa mambo ambayo ni ya uzushi au kijiweni. Tabia hii ikiruhusiwa kushamiri hapa JF itashusha hadhi ya Forum hii. Namshauri Jeykey afungue Blong yake ambayo atakuwa na uhuru wa kuandika lolote hata kama vipi. Tuwe makini tafadhali.:eyebrows:
 
Si kila mtu aweke thread hapa jukwaani, hii thread ni pumba tupu, huu ni upuuuzi mtupu.Toa hii Thread invisible.
 
Tafuta thread nyingine halafu utafakari kabla ya kui-post.
Dick umekuwa hauna mawazo kwakuwa wewe umekurupuka tu kuandika hata bila kufikiria..

so umeelewa maanaya hiyo thread,, je umetafakari inaumuhim gani katika maisha yako kama mtanzania? au wewe ndo wale wa CCM??
 
mi ninaswali kwa hy mwanatakwimu an nimwite mtabiri ajae kwa kasi!
Hv hesabu za kujumlisha ukisomea wp!
Na je hz % umezitoa wp?
But km wewe ni CCM basi we n4 chabikh mzuri sn wa hch cham.
All in all,majibu ni mwezi wa 10!
TUSIANDIKIE MATE WAKATI WINO UPO.
 
Ujinga hauna bei ila gharama sana kuuendekeza
 
Aiseeeee jamani ndio nimefungua ka komputa kangu nikakuta hii kitu JK 90% Slaa 15% Lipumba 5% incredible.

Huyu tatizo lake si elimu ya madrasa tu ni hazimo kichwani ndivyo alivyo angekuwa na akili angalau kidogo hata joks zake zingekuwa zinaleta sense. Huyu ni sawa na wale wanaojifanya maalimu wa madrasa kazi kubeba fimbo na kuvitishia vitoto ili kuvifanyia mambo mabaya. Ndivyo alivyo huyu jamaa, wanaomtumia wamempata haswa. Kuna wakati niliwaambia alinunuliwa laptop kwa kazi hii mkanidharau ndivyo ilivyo.
 
Mimi sikifagirii chama huki cha CCM... lakini situation inaonesha kimeshashinda, kwasababu Zenj wamesha vunjwa mbavu kwa kumsimamisha Dr. Shein, na kumleta huku bilali ni saikolojia kubwa sana kwani kura zoooteee za CUF zimesha nyang,anywa na CCM kutoka Zenj

Majimbo zaidi ya kumi sasa yameshakuwa Confirmed kuwa yapo chini ya CCM,, Source THE GUARDIAN 21STAUGUST2010,, SASA KUTOKANA NA MAJIMBO HAYO AMBAYO UKITAKA HABARI KAMILI NENDA THE gUARDIAN tayari CCM wamesha pata kura kadhaa ambazo wao kwa sasa wanahitaji kuongea tuu kidogo ili wajihakikishie ushindi,,

Navilaumu sana Vyama Pinzani kwa kuto simamisha wagombea katika baadhi ya majimbo kwani kwa staili hiyo maana yake wamekubali CCM wachukue tena nchi yetu waendelee kuiharibu kwa ufisadi...

Mimi inaniuma sana

Kama TAKUKURU wako makini, inabidi wawahoji hao walioshindwa kurudisha fomu. Yawezekana ni njaa zao wamesha pewa pesa na wanaamua kuweka zengwe.
USHAURI
Vyama vya upinzani wanapaswa kuweka mikakati ya kuhifadhi kumbukumbu zao ili kuondoa hujuma. thithiem wamesha panga kuhujumu upinzani kwa kila idara
 
Mnaojibizana na huyu jamaa anayejiita "JeyKey" mnapoteza muda wenu bure....
Sana sana mnampa undeserved attention maana hata construction ya sentenso zake anazidiwa hata na mtoto wa darasa la nne msingi.
 
Back
Top Bottom