Shoo Gap
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 261
- 97
90% + 15% + 5% =110%
Hili ni thibitisho kuwa kuna wizi wa kura kwani JeyKey anatuambia ni lazima idadi ya wapiga kura izidi ile ya waliojiandikisha.
HIVI USHINDI WA KISHINDO NI NINI????????
Kwangu mimi atakayeshinda kwa kishindo sio yule aliyepata kura nyingi BALI yule aliandaa mazingira mazuri ya jamii ya wa-tz kushinda maadui Ujinga, umasikini na maradhi. HUYU NDIYE MSHINDI. Hata ukipata 1000% lakini hakuna maisha bora kwa vitendo ni upuuzi mtupu tu. Kutawala kwa serikali ya CCM miaka yote hii lakini wananchi wana umasikini wa kutupwa hii ni kufuru. Kumbuka CCM mtadaiwa damu za akina mama waliokufa kwa kukosa huduma nzuri, watoto wanaokufa kwa kukosa huduma za afya, damu za ndugu zetu zinazomwagika kwa ajali zinazoweza kuzuilika, n.k.