CCM wameshindwa kuendesha nchi, huo ndiyo ukweli

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Hakuna wakati wowote ule, nchi yetu ya Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) imewahi kuongozwa na chama kingine chochote kile zaidi ya hapo awali kuongozwa na TANU (Tanganyika) na ASP (Zanzibar) vyama ambavyo viliungana na kuzaliwa CCM.

Kwa ivo umaskini wetu, ujinga wetu uliotopea, maradhi yanayotuganda kama ngozi za miili yetu, vimetokana na CCM kuwepo madarakini. Kiuhalisia CCM wameshindwa kabisa kuongoza kwa ufanisi nchi yetu.

Wanachojua CCM ni kujitwalia mali za watanzania wote na kuzifanya za kwao.
 
Pamoja na vyamzo vingi vya Maji tulivyo navyo, hivi wewe hujiulizi ni kwanini baada ya miaka zaidi ya 60 ya kujitawala, Bado tuna mgao wa Maji?

Hii nchi watawala wetu kila siku wanawaza namna watakavyoendelea kututawala!
 
Huu NDIO uchochezi 🙂🌝🌝
 
Halafu Chadema wakamchukua Lowassa wa CCM agombee Urais wa JMT
Kwani Lowassa ndio ccm? Hayo ndio moja ya maswali ya kijinga ambayo mazuzu wa CCM huwa wanauliza.
CCM ni mfumo ambao mtu ukiwa ndani yake unaufuata lakini ukiwa umetoka wakati huo hutaufuata.
Kwani hao mawaziri walioko huko, MA RC na DC waliokuwa Chadema wanatenda ya Chadema kwa sasa?
Muwe mnatumia ubongo kufikiri na sio nanihii ili kujibu hoja zinazotolewa.
 
CCM ni janga
 

Huyu dada ni Mtanzania anachota maji haya yasiyo na sifa ya kunywewa na binadamu kwa kuwa tu yupo kwenye nchi ya Tanzania inayoongozwa na CCM!!
 
Mbowe: Wanaccm wenzangu tuelewane

CCM ni chama kikubwa sana

Mtei, Bob Makani na mtoto wao Freeman hawakuwahi kuhama CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…