CCM wameshindwa kuendesha nchi, huo ndiyo ukweli

CCM wameshindwa kuendesha nchi, huo ndiyo ukweli

Hakuna wakati wowote ule, nchi yetu ya Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) imewahi kuongozwa na chama kingine chochote kile zaidi ya hapo awali kuongozwa na TANU (Tanganyika) na ASP (Zanzibar) vyama ambavyo viliungana na kuzaliwa CCM.

Kwa ivo umaskini wetu, ujinga wetu uliotopea, maradhi yanayotuganda kama ngozi za miili yetu, vimetokana na CCM kuwepo madarakini. Kiuhalisia CCM wameshindwa kabisa kuongoza kwa ufanisi nchi yetu.

Wanachojua CCM ni kujitwalia mali za watanzania wote na kuzifanya za kwao.
Watu Wanaendesha nchi tangu tupate uhuru, waje kushindwa leo?
 
Back
Top Bottom