Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Yes. Tunaelekeza kelele huko wanakaa kimya kuhusu KatibaInawezekana ni technique ya kusahaulisha watu mfukuto wa katiba mpya.
Hatimae yametimia niliyoyasemaInawezekana ni technique ya kusahaulisha watu mfukuto wa katiba mpya.
Huyu ajawahi kulala njaa wala kutembea peku utotoni atayajua wapi maisha ya watz.Nashawishika kuamini kuwa hii ni danganya Toto ili waonekane kuwa wanawajali watu au kuwa Vyombo vyetu/vyao viko pamoja nasi.
Sasa hivi au baada ya muda kelele zitakapo kuwa nyingi watakuja na "kutengua" huu ujinga then watu au kile kikundi cha Praise Team wataongeza sauti ili waonekane wazalendo.
Time will tell. This time wakija msiwaamini.
View attachment 1855482
Katiba mpya haiwezi kusahaulika kibwegeInawezekana ni technique ya kusahaulisha watu mfukuto wa katiba mpya.
Yametimia !HATARI
Tungekuwa na umoja tusingewachagua hawa viumbe.Nashawishika kuamini kuwa hii ni danganya Toto ili waonekane kuwa wanawajali watu au kuwa Vyombo vyetu/vyao viko pamoja nasi.
Sasa hivi au baada ya muda kelele zitakapo kuwa nyingi watakuja na "kutengua" huu ujinga then watu au kile kikundi cha Praise Team wataongeza sauti ili waonekane wazalendo.
Time will tell. This time wakija msiwaamini.
View attachment 1855482
mtu mzima ukijinyea unategemea nani akuchambe.......unakigeukia kinyesi chako...taraaatibuuu.......ndio hawa wajinga wa tozo....pambafu kabisaMimi naona wangeacha TOZO ziendelee kwasababu wakizitoa itaonekana, walitengeneza tatizo ili WALITATUE 🤣🤣
Hakuna chaguo la wananchi hapo,chaguo la wananchi huwa na uchungu na wananchiTungekuwa na umoja tusingewachagua hawa viumbe.
Hahaahhaa kweli lakiniHakuna chaguo la wananchi hapo,chaguo la wananchi huwa na uchungu na wananchi
Kweli aisee haya madhara ya kupita bila kupingwaHakuna chaguo la wananchi hapo,chaguo la wananchi huwa na uchungu na wananchi
Wameshatengeneza tatizo, sasa wanalitatua! Hongera sana Mwigulu NchembaWakuu vipi tozo zinaendelea au
Wakitengua watakua wajinga. Hapo walipogusa ndio sehemu sahihi ya wananchi kuchangia kodi kama kwa hiari hawataki.. haushikiwi pistol ila unalipa kidi. Ndio maendeleo yanavyokuja kwa kulipa kodi.Nashawishika kuamini kuwa hii ni danganya Toto ili waonekane kuwa wanawajali watu au kuwa Vyombo vyetu/vyao viko pamoja nasi.