CCM wana dharau sana: Barabara za Ukonga zilizokuwa na mashimo kama njia za ng'ombe zinakarabatiwa ili Magufuli aje kukampeni Jumamosi

CWR2016

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
2,773
Reaction score
6,349
Habari wana JF,

Leo numepita mitaa kadhaa ya jimbo la ukonga, nikashanga kukuta magreda yakifukia mashimo na makorongo barabarani hadi usiku.

Nikauliza kulukoni mbona miaka na miaka wananchi wa huku wanapita kwenye haya mabonde! Imekuwaje leo vifusi vijazwe?

Nikaambiwa mgombea wa CCM Magufuli atakuwa huku kwa ajili ya kampeni.

Swali: Mpiga kura ana thamani gani?

Swali2: Kwa nn hawakurekebishia wananchi siku zote hizo?

Swali3: Tukisema CCM wanajijali wenyewe na ni wabinafsi, tutakuwa tunakosea?

Nisaidieni kujibu hayo.
 
Hii bajeti ya ghafla ya kukwangua barabara na kujaza vifusi kwa nn haikufanyika siku zote wananchi wapite vizuri?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…