Unakwazika na nini hapo?Hivi ccm kwanini mnakuwa wapumbvu kiasi hiki.
Ukiwa rais ni tayari kiongozi wa dola
Mnaipaisha tu ccm bila ya kujijua kwa kuitaja taja.tuonesheni basi makabrasha yenu yameandikwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakwazika na nini hapo?Hivi ccm kwanini mnakuwa wapumbvu kiasi hiki.
Aheee nadhani utatusaidia na wengine katika hiliKwani hizi fom kila chama kinachapisha ya kwake!? Tutoane tongotongo hapa
Mimi fikira zangu nilidhani kwasababu anatafutwa Rais wa nchi bila kujali atakuwa wa chama gani hivyo na form inakuwa ya aina moja kwa vyama vyote
Hapo nimefupisha kilichopo kwenye katiba ya CCM na ndio katiba pekee ya chama Cha siasa ambayo haijatiliwa shaka vipengele vyake mpaka sasa, kwa kukusaisldia tu itafute uisomeHebu jisome upya halafu uniambie kama umejielewa
Rais ni Amiri jeshi au hamjui maana yake.
Mzee huwafahamu watu wa Nchi hii kwa kuvuruga mambo? Unaamini katika kila ukionacho? Unafahamu chochote kuhusu Photoshop?
Kuna vitu wanavifanya kwa siri lakini wao wenyewe pasipo kujua wanaviweka wazi.
Kwa hiyo,uchaguzi tunaenda kuchagua uchaguzi wa vyombo vya dola na si uchaguzi mkuu?maneno tofauti maana ni ile ile
Jumapili unalipwa overtime? Toka saa kumi za usiku upo online unatetea uharo wa yesu wa chato!Uwongo huo wame edit
Ebu tupe piche original mzee wa buku sabaChadema wana edit kujifurahisha
[emoji115][emoji115][emoji115] A stupid comment of the day.Chadema wana edit kujifurahisha