Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa, kwani anaenda kugombea uongozi Chadema?
Majeshi ni vyombo vya dola? Na vyombo vya ulinzi na usalama ni vipi? Kweli uwezo wa wapinzani unatia shaka sanaVyombo vya dola = Majeshi
Rais Tz = Amiri Mkuu wa Majeshi
Amiri Mkuu wa Majeshi = Kiongozi wa vyombo vya dola
Rais Tz = Kiongozi wa vyombo vya dola
Najifurahisha tu hapa usiniulize kitu
Umeshindwa kuvumilia? Nilisema nisiulizwe kituMajeshi ni vyombo vya dola? Na vyombo vya ulinzi na usalama ni vipi? Kweli uwezo wa wapinzani unatia shaka sana
Hapo makao makuu CCM, tuwe careful katika hili.
Huwez kutetea huu ujinga ukaeleweka. Kubalini tu mmetoa boko. SimpleHujui kuwa u Rais na umiri jesh hautenganishwi
Chadema ni sahihi!CCM wametudharau sana watanzania!!
Offer ni demokrasia, haki za binadamu, elimu ya uraia wananchi wafundishwe haki zao kutoka shule ya msingi mpaka kwenye mikutano ya vijiji na mitaa.Mmekosa cha kukosoa na hamna offer ya kuwapa Watanzania
Hivi baba akikarabati nyumba tunayoishi tunahitaji kumtungia mashairi ya kumwabudu?Acheni ku edit nyie mlioshiwa
Akikujibu nistueNajua kuna saa unajibu mwenyewe unaona aibu sema basi tu.... we unapoenda kupiga kura pale kwenye karatasi ndo wataandika hvyo??? Anaomba kua mkuu wa bunge au mahakama?? Kipi basi waspecify.. kulikua na shida gani kuandika neno husika. Na isitoshe hyo si ni fomu ya kuomba ridhaa chamani ama????
Mkuu kama umesoma political science, hili halijakaa sawa.Mmekosa cha kukosoa na hamna offer ya kuwapa Watanzania
Hivi baba akikarabati nyumba tunayoishi tunahitaji kumtungia mashairi ya kumwabudu?
Wapo kibao mbonaumebaki peke yako hapo ufipa.
Safi msukuma pekee mwenye akiliMkuu kama umesoma political science, hili halijakaa sawa.
Kama ni kumchagua mkuu wa vyombo vya dola basi kwenye ulingo wawepo kina Sirro, Mabeyo n.k.
Tunataka Magufuli anadiwe kuwa rais wa wananchi wote na si kuwa kikngozi vya vyombo vya dola.
There is a big diffarence in the perception.
- Unamuhubiria mkulima aliye mkilila hoja ya demokrasia wakati kilimo anachokitegemea bado ni duni, unafikiri atakusikiliza?Offer ni demokrasia, haki za binadamu, elimu ya uraia wananchi wafundishwe haki zao kutoka shule ya msingi mpaka kwenye mikutano ya vijiji na mitaa.