Sheria inaruhusu wanasiasa kupita mashuleni kufanya hivyo?Hili ni jambo kubwa kama chama Cha siasa hatua ya kwanza ni kuandaa daftari Yao ya wanachama vizuri...
Kwani mtu akiwa na kadi ya chama chako ndo anakupigia kura? Pengine umemshawishi Kwa pesa zako kala, na kadi kachukua na kura hakupi.Hili ni jambo kubwa kama chama Cha siasa hatua ya kwanza ni kuandaa daftari Yao ya wanachama vz...
ukiona vyaelea, ujue vimeundwa,Hili ni jambo kubwa kama chama cha siasa hatua ya kwanza ni kuandaa daftari Yao ya wanachama vizuri.
Leo nimeona wamefika shule sasa na kuanza kuandikisha wanafunzi kuingizwa kwenye daftari ya chama na kufanya maandalizi ya kuwapa kadi Yao ya electroniki.
Sasa CHADEMA wanafanya nini kama chama cha siasa huku grass root?
Imagine. Na watu wanaona sawa tu. Wanasifu hiyo hatua kama juhudi binafsi ya chama. Kweli?! Nadhani watanzania tu wapunguani.Sheria inaruhusu wanasiasa kupita mashuleni kufanya hivyo?
Hili pekee kama ulivyo liweka halitishi sana, pamoja na kwamba ni mkakati mzuri katika kutafuta ushindi. Zoezi hilo linakuwa la hatari zaidi linapotumika kutumia takwimu hizo kwa njia haramu wakati wa uchaguzi.Hili ni jambo kubwa kama chama cha siasa hatua ya kwanza ni kuandaa daftari Yao ya wanachama vizuri.
Leo nimeona wamefika shule sasa na kuanza kuandikisha wanafunzi kuingizwa kwenye daftari ya chama na kufanya maandalizi ya kuwapa kadi Yao ya electroniki.
Sasa CHADEMA wanafanya nini kama chama cha siasa huku grass root?