Pre GE2025 CCM wanaandikisha wapiga kura wao je CHADEMA vipi?

Pre GE2025 CCM wanaandikisha wapiga kura wao je CHADEMA vipi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,800
Reaction score
2,339
Hili ni jambo kubwa kama chama cha siasa hatua ya kwanza ni kuandaa daftari Yao ya wanachama vizuri.

Leo nimeona wamefika shule sasa na kuanza kuandikisha wanafunzi kuingizwa kwenye daftari ya chama na kufanya maandalizi ya kuwapa kadi Yao ya electroniki.

Sasa CHADEMA wanafanya nini kama chama cha siasa huku grass root?
 
Hili ni jambo kubwa kama chama Cha siasa hatua ya kwanza ni kuandaa daftari Yao ya wanachama vz...
Kwani mtu akiwa na kadi ya chama chako ndo anakupigia kura? Pengine umemshawishi Kwa pesa zako kala, na kadi kachukua na kura hakupi.
 
Hili ni jambo kubwa kama chama cha siasa hatua ya kwanza ni kuandaa daftari Yao ya wanachama vizuri.

Leo nimeona wamefika shule sasa na kuanza kuandikisha wanafunzi kuingizwa kwenye daftari ya chama na kufanya maandalizi ya kuwapa kadi Yao ya electroniki.

Sasa CHADEMA wanafanya nini kama chama cha siasa huku grass root?
ukiona vyaelea, ujue vimeundwa,

alie lala, kalala ukimuamsha ni kumpigia kelele na kumsumbua tu, na chadema wataishia kukutukana tu :pulpTRAVOLTA:
 
Hili ni jambo kubwa kama chama cha siasa hatua ya kwanza ni kuandaa daftari Yao ya wanachama vizuri.

Leo nimeona wamefika shule sasa na kuanza kuandikisha wanafunzi kuingizwa kwenye daftari ya chama na kufanya maandalizi ya kuwapa kadi Yao ya electroniki.

Sasa CHADEMA wanafanya nini kama chama cha siasa huku grass root?
Hili pekee kama ulivyo liweka halitishi sana, pamoja na kwamba ni mkakati mzuri katika kutafuta ushindi. Zoezi hilo linakuwa la hatari zaidi linapotumika kutumia takwimu hizo kwa njia haramu wakati wa uchaguzi.

Hawa WaTanzania wanao andikishwa huko, hawana mkataba wa kuwapigia CCM kura, hata kama wapo kwenye daftari lao.
CHADEMA na wengine wangejitahidi kuwaelimisha hawa watu, hizo namba za CCM zisingekuwa na maana yoyote.
Tatizo ni hili tu, kama ulivyo uliza hapo. CHADEMA na wenzao wanafanya kitu gani sasa?

Tayari wamepoteza muda mwingi sana bila kufanya kazi iliyo takiwa kufanywa toka miaka minne iliyo pita. Kwenda kwa wananchi kule mitaani, nyumba kwa nyumba. Tume wahimiza hivyo wakati wote huo; lakini hadi sasa hakuna lililo fanyika.
 
Back
Top Bottom