ukiona hivyo ujue kunavipengele vinawekwa sawa kwaajili ya mtu fulani#TAARIFA : Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.
#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma.
View attachment 2162581
Ni mikakati ya kushinda uchaguzi 2025.Tena wanajipakulia minyama, mtu mmoja ruksa kuwa na vyeo zaidi ya kimoja.
Legacy ya Magufuli inachezewa sana alipinga mchezo wa kofia mbili lkn cha ajabu yeye akabaki nazo.Tena wanajipakulia minyama, mtu mmoja ruksa kuwa na vyeo zaidi ya kimoja.
Hata katiba ya JMT bado inatambua nchi yetu ni ya ujamaa na kujitegemea.Waondoe kitu inasema Ujamaa na kujitegemea kwenye katiba ya CCM.
Watu wenyewe ni mabeberu na wanaficha pesa uswiss
10% ya miradi na mikataba
Ni upofu kabisaHata katiba ya JMT bado inatambua nchi yetu ni ya ujamaa na kujitegemea.
Samia amechangiwa mabilioni ya fedha kutoka kwa wananchi kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa ccm 2025 na katiba yao mpya.Kama tatizo la kupata katiba mpya ya JMT ni fedha, wananchi wakiwa tayari kuchanga itakuwaje?
Mkuu alichangiwa lini tena.Samia amechangiwa mabilioni ya fedha kutoka kwa wananchi kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa ccm 2025 na katiba yao mpya.
Fomu zilisambaa nchi nzima kila fomu moja isirudi chini ya Tsh 200,000.
Kwa mantiki hiyo wananchi wana uwezo wa kuchangia Gharama Za kuandaa katiba yao.
Ni zoezi lililokuwa likifanyika kuanzia dec2021 na Mwisho wa kurudisha fomu ilikuwa tar 20.2.2022Mkuu alichangiwa lini tena.
Who can shoot one's stomach? Can CCM dare?#TAARIFA : Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.
#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma.
View attachment 2162581
Duh lkn si wanasema uchaguzi umeisha sasa ni wakati wa kujenga nchi kwanza.Ni zoezi lililokuwa likifanyika kuanzia dec2021 na Mwisho wa kurudisha fomu ilikuwa tar 20.2.2022