Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wanajua watatolewa madarakani mapema sn#TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.
#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma
View attachment 2162581
Unavyoona huyu mama Ana uwezo wa kujenga nchi mkuu?Duh lkn si wanasema uchaguzi umeisha sasa ni wakati wa kujenga nchi kwanza.
WATANZANIA TUNATAKA KATIBA MPYA#TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.
#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma
View attachment 2162581
Enzi za Mwinyi nilikuwepo mkuu sisi ndio tuliambiwa tumemtukana matusi ya nguoni, enzi za mzee punch.Unavyoona huyu mama Ana uwezo wa kujenga nchi mkuu?
Enzi ya Mzee Mwinyi kama ulikuwa mdogo kwa umri . Hujui yaliyotupata wahenga.. walimu Walachia kazi wakaenda kudenga.
Uko sawa tena kilitokea akakurupuka Lafita kuajiri Wanafunzi wa chuo kikuu kisa Katukanwa.Enzi za Mwinyi nilikuwepo mkuu sisi ndio tuliambiwa tumemtukana matusi ya nguoni, enzi za mzee punch.
Yaani huyu atafilisi nchi yoteUnavyoona huyu mama Ana uwezo wa kujenga nchi mkuu?
Enzi ya Mzee Mwinyi kama ulikuwa mdogo kwa umri . Hujui yaliyotupata wahenga.. walimu Walachia kazi wakaenda kudenga.
Naunga mkono hojaHatuna Katiba ya Nchi. Tulicho nacho ni Katiba ya Chama. Katiba ya Nchi husukwa baada ya Katiba ya Chama kuakisi malengo na mahitaji ya Katiba ya Chama.
Mfumo mbovu snUko sawa tena kilitokea akakurupuka Lafita kuajiri Wanafunzi wa chuo kikuu kisa Katukanwa.
Ninakumbuka mzee punch wa udsm na SUA walikuwa wanafundisha adabu wasiojiheshimu.
Siku hivyo vyuoni wazee walikufa au? Na sifa Za wazee walikuwa Hawa I wala kumaliza chuo. Nini kimetokea universities zote Hakuna wazee?
Katiba ya sasa ni Kamba ya makamu wa Rais ya kumnyonga Rais aliyeko madarakani.WATANZANIA TUNATAKA KATIBA MPYA
mbona pesa zaa kutengeneza picha la royo tua la chief hagaya wametengeneza kwa 7b lakini pesa za katiba hakunaKama tatizo la kupata katiba mpya ya JMT ni fedha, wananchi wakiwa tayari kuchanga itakuwaje?
Pesa ya katiba haiwezi kuwepo ila za miradi mikubwa zipo.mbona pesa zaa kutengeneza picha la royo tua la chief hagaya wametengeneza kwa 7b lakini pesa za katiba hakuna
wanatuona wajinga sana hawa, ila hili suala ni kati ya maslahi ya taifa(katiba mpya) na maslahi binafsi/chama(hawataki katiba mpya)Pesa ya katiba haiwezi kuwepo ila za miradi mikubwa zipo.
Katiba Mpya ni sasa na tuko tayari kuichangia.wanatuona wajinga sana hawa, ila hili suala ni kati ya maslahi ya taifa(katiba mpya) na maslahi binafsi/chama(hawataki katiba mpya)
1000Γ10,000,000=10,000,000,000 haitoshi kupata katiba bora kwa wananchiKatiba Mpya ni sasa na tuko tayari kuichangia.
Huyu mama Ana Elimu gani ?