Kuna siku wataitaka wao hata Ndugai alikuwa anasema hakuna haja ya katiba mpya ila aliko anajuta.CCM hawataki kabisa kuwa chama cha Upinzani sababu wanajua dhoruba wanayowafanyia.
Kwa hiyo ngao yao kuu ni Katiba hii ya sasa kuenelea kutumika.
Huyu mama anaenda kuimalizia CCM ifutike kabisaUnavyoona huyu mama Ana uwezo wa kujenga nchi mkuu?
Enzi ya Mzee Mwinyi kama ulikuwa mdogo kwa umri .
Hujui yaliyotupata wahenga.. walimu Walachia kazi wakaenda kudenga.
Hakuna mtu anataka katiba mpya kama NdugaiKuna siku wataitaka wao hata Ndugai alikuwa anasema hakuna haja ya katiba mpya ila aliko anajuta.
WATANZANIA TUNATAKA KATIBA MPYA MBONA YA CHAMA CHENU MNABADILISHA#TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.
#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma
View attachment 2162581
Mzee wa Nazareth kaonekana viunga vya mkutano.Kuna siku wataitaka wao hata Ndugai alikuwa anasema hakuna haja ya katiba mpya ila aliko anajuta.
Bado watakataa na hizo fedha wanaweza kuzifreeze.Hakatai kwa sababu ya gharama.Kama tatizo la kupata katiba mpya ya JMT ni fedha, wananchi wakiwa tayari kuchanga itakuwaje?
Akili ya wanaccm imejikita kwenye Urais, mkiwa na Rais mfuko wote wa fweza ni wenu.#TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa.
#TukutaneAprilMosi
#MkutanoMkuuMaalumDodoma
View attachment 2162581
Na hakuna mtu yeyote mwenye akili sawa sawa anaweza pigia kura mijizi ya hili li chama! Ukiona mtu anajiunga nao ana maslahi binafsi au ameahidiwa cheo. Hata wenyewe wanajuaNje ya likatiba la zamani ccm inajua 'mwelekeo wake ni ICU'
Katiba mpya ndio mwisho wa ccm, hawezi kuiba kura kwa kuwatumia usalama, ma-ded na wengineo kwani uchaguzi utakuwa wa haki.
Watakuwa wanakosa heshima kwa Mtemi Hangai.Kama tatizo la kupata katiba mpya ya JMT ni fedha, wananchi wakiwa tayari kuchanga itakuwaje?