kichongeochuma JF-Expert Member Joined Jan 21, 2024 Posts 1,669 Reaction score 2,864 Jan 17, 2025 #181 Lucas Mwashambwa said: Mimi siyo chawa. Click to expand... Tena wewe sio chawa tu bali ni mbumbumbu wa chama
Lucas Mwashambwa said: Mimi siyo chawa. Click to expand... Tena wewe sio chawa tu bali ni mbumbumbu wa chama
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Jan 17, 2025 Thread starter #182 kichongeochuma said: Tena wewe sio chawa tu bali ni mbumbumbu wa chama Click to expand... Jamaa ni hatari. Lucas Mwashambwa na lazima ni matipo...
kichongeochuma said: Tena wewe sio chawa tu bali ni mbumbumbu wa chama Click to expand... Jamaa ni hatari. Lucas Mwashambwa na lazima ni matipo...
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Jan 17, 2025 Thread starter #183 Baraka Kasinge said: Nimesema "MAKAMU watakuwa wanamjua" kwa sababu wewe umeongekea "makamo", vitu viwili tofauti Click to expand... Hapana sahihi ni Makamo. Makamu ni wasiojua kiswahili ndiyo waliolileta.
Baraka Kasinge said: Nimesema "MAKAMU watakuwa wanamjua" kwa sababu wewe umeongekea "makamo", vitu viwili tofauti Click to expand... Hapana sahihi ni Makamo. Makamu ni wasiojua kiswahili ndiyo waliolileta.
I feel good JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 804 Reaction score 1,362 Jan 17, 2025 #184 Hahah... Majinga kabisa haya. Ndyo maana hata vyombo vya kimataifa kama BBC havina time nayo. Vinapambana kufuatilia joto linalofuka huko CHADEMA
Hahah... Majinga kabisa haya. Ndyo maana hata vyombo vya kimataifa kama BBC havina time nayo. Vinapambana kufuatilia joto linalofuka huko CHADEMA
Baraka Kasinge Member Joined Apr 4, 2016 Posts 60 Reaction score 69 Jan 21, 2025 #185 Allen Kilewella said: Hapana sahihi ni Makamo. Makamu ni wasiojua kiswahili ndiyo waliolileta. Click to expand... Mmhh ngoja nikafanye utafiti🚴🏽
Allen Kilewella said: Hapana sahihi ni Makamo. Makamu ni wasiojua kiswahili ndiyo waliolileta. Click to expand... Mmhh ngoja nikafanye utafiti🚴🏽