Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa unapiga tu ramli. Watakuwa wanamjua kupitia mfumo upi? Wakati Katiba Yao inataka jina litolewe kwenye huo mkutano Mkuu wanaokwenda kuufanya!Ila MAKAMU watakuwa wanamjua tayari
Allen Habari za Magari Mabovu au haupo tena huko,Hivi Katibu mkuu wa chadema mmeshamjua ?Kwa mujibu wa katiba yenu ya chadema katibu mkuu anachaguliwaje si kama makatibu wa wakuu wa mabaraza wanachukua fomu na kuomba kura?Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma.
Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika.
Leo siku tatu kabla ya mkutano huo kuanza, wajumbe hawajui ni nani wanayekwenda kumthibitisha awe Makamo Mwenyekiti wao kwa upande wa Tanganyika.
Katiba ya CCM inasema kuwa, Makamo wa Mwenyekiti atapendekezwa na Kamati Kuu kwa Halmashauri Kuu ya chama hicho ambayo ndiyo itapendekeza Kwa mkutano Mkuu, jina la anayetakiwa awe Makamo Mwenyekiti kwa ajili ya kuthibitishwa.
Sasa hao wajumbe mpaka Leo hawajui nani atakuwa Makamo wa Mwenyekiti wao, halafu CCM inajisifu kuwa yenyewe ni chama kikubwa.
Chama gani kikubwa kinachoendesha mambo kizamani sana kama jando au unyago?
Machawa wanangojea waletewe kiongozi wasiyemjua wala kumchagua, waanze kumpamba.
CC.
Machawa wote.
KESHO KUNA NKIKAO CHA KAMATI KUU ATAJULIKANA KUWA MPOLE WEWE UTAKUWA CHADOMOOO HEBU FUATA YA HUKO VIPI LEO KIBAO KATA KIPO KWA LISSU AU WENJE MIPASHO KWAKWENDA MBELEKwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma.
Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika.
Leo siku tatu kabla ya mkutano huo kuanza, wajumbe hawajui ni nani wanayekwenda kumthibitisha awe Makamo Mwenyekiti wao kwa upande wa Tanganyika.
Katiba ya CCM inasema kuwa, Makamo wa Mwenyekiti atapendekezwa na Kamati Kuu kwa Halmashauri Kuu ya chama hicho ambayo ndiyo itapendekeza Kwa mkutano Mkuu, jina la anayetakiwa awe Makamo Mwenyekiti kwa ajili ya kuthibitishwa.
Sasa hao wajumbe mpaka Leo hawajui nani atakuwa Makamo wa Mwenyekiti wao, halafu CCM inajisifu kuwa yenyewe ni chama kikubwa.
Chama gani kikubwa kinachoendesha mambo kizamani sana kama jando au unyago?
Machawa wanangojea waletewe kiongozi wasiyemjua wala kumchagua, waanze kumpamba.
CC.
Machawa wote.
Chama dumeViingereza kwa sisi LY unatuchanganya tu. Leo bado siku mbili tu ili Mkutano Mkuu wa CCM uanze, wajumbe bado wapo gizani... HAWAJUI nani atakuwa Makamo Mwenyekiti wao🙄
CCM ni Chama kinachofuata mfumo wa Ujamaa. Mfumo wa Ujamaa ni wa watu wachache kumiliki kila kitu na wengine wote wanakuwa kama watumwa hawana maamuzi yoyote. Ndio maana wanavuruga chaguzi ili kuhakikisha kile kikundi kinaendelea kutawala bila bughudha. Ukiweka Demokrasia atachaguliwa wasiyemtaka!Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma.
Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika.
Leo siku tatu kabla ya mkutano huo kuanza, wajumbe hawajui ni nani wanayekwenda kumthibitisha awe Makamo Mwenyekiti wao kwa upande wa Tanganyika.
Katiba ya CCM inasema kuwa, Makamo wa Mwenyekiti atapendekezwa na Kamati Kuu kwa Halmashauri Kuu ya chama hicho ambayo ndiyo itapendekeza Kwa mkutano Mkuu, jina la anayetakiwa awe Makamo Mwenyekiti kwa ajili ya kuthibitishwa.
Sasa hao wajumbe mpaka Leo hawajui nani atakuwa Makamo wa Mwenyekiti wao, halafu CCM inajisifu kuwa yenyewe ni chama kikubwa.
Chama gani kikubwa kinachoendesha mambo kizamani sana kama jando au unyago?
Machawa wanangojea waletewe kiongozi wasiyemjua wala kumchagua, waanze kumpamba.
CC.
Machawa wote.
Transparence!Chadema wanatufundisha sana namna ya siasa ya nchi hii zinapaswa kuwa.
Swali la msingi sana hili.Jamii kama hii ambayo iko aleji na transparency unadhani inaweza kukomesha rushwa!
Jina ninalo tayariWatu wamejazana Dodoma kesho kikao lakini hawajui nani wamekwenda kumpigia kura😂
Lucas Mwashambwa na johnthebaptist tayari mshapata jina la mnaekwenda kuanza kumpamba?
Litaje 🙄Jina ninalo tayari
Huku CCM hatufanya ukurupukaji na Uropokaji kama CHADEMA.Hii ndio Maana ya CCM kuitwa chama kiongozi Barani Afrika na Tumaini la mamilioni ya watanzaniaLitaje 🙄
Hata Kikwete aweza chaguliwa makamu mwenyekiti katiba inaruhusuMwenyekiti ameshapewa jina na Chikwete akadhibitishwe Pinda Kayanza Peter
Vikao vya chama na maamuzi ya chama ni siri na siyo upayukaji kama huko CHADEMA. Kwani umeona wapi wana CCM wakilalamika? Tupo kimya kwa sababu tuna elewa kila kitu kinachopaswa kufanyika katika kila hatua na hatua zote zipo sawa na mambo ni moto moto tu na Taifa lijiandae kulipuka kwa shangwe, vifijo na nderemo
Ndugu, ukiwa CCM hutakiwi kutumia akili zako zote ili maisha yako yawe mepesi.
Wenzako CCM wanajua ule ni uchaguzi huru na wa haki.
Yaani unaingia ukumbini hujui unakwenda kumpitisha ( si kuchagua) nani.
Kuondosha mihemko na makundi ndio hakutajwa.Vikao vya chama na maamuzi ya chama ni siri na siyo upayukaji kama huko CHADEMA. Kwani umeona wapi wana CCM wakilalamika? Tupo kimya kwa sababu tuna elewa kila kitu kinachopaswa kufanyika katika kila hatua na hatua zote zipo sawa na mambo ni moto moto tu na Taifa lijiandae kulipuka kwa shangwe, vifijo na nderemo
Halafu hii tabia yenu hii nyie ma - CCM ndiyo mmemwambukiza na kumfanyia kitu mbaya na kumharibu sana Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe...Huku CCM hatufanya ukurupukaji na Uropokaji kama CHADEMA.Hii ndio Maana ya CCM kuitwa chama kiongozi Barani Afrika na Tumaini la mamilioni ya watanzania
Hatua 10 na mbele hatua 20 kurudi nyuma.Hata Kikwete aweza chaguliwa makamu mwenyekiti katiba inaruhusu